Viongozi wachumi tanzania kwa sasa

JUNK MASTER

Member
Aug 14, 2012
84
18
Ukiachana na Lameck Mwigulu Nchemba(FIRST CLASS ECONOMIST) ni kiongozi gani mwingine ambaye amebobea katika uchumi
 
Wahadhiri wote wa uchumi wa vyuo vyote vya Tanzania, sema wakitoa ushauri serikali haiufanyii kazi maana serikali yetu ina malengo yake tofauti na kuinua maisha ya Watanzania, malengo yake ni kuinua maisha ya mafisadi, mwulize Prof Wangwe alipiga kelele sana sasa ikabidi apewe nafasi ndani ya chama sasa ni kimya
 
Back
Top Bottom