Viongozi waandamizi wa Polisi, Uhamiaji, Magereza wanavyoweweseka nadhani wamenusa Kuna uteuzi unakuja

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
762
6,980
Malisa amewahi Kuandika uwepo wa ombwe la uongozi Polisi, alisema wazi kwamba kwa miaka mitano viongozi wa Polisi awajapandishwa vyeo hasa wale ambao mamlaka ya upandishaji vyeo ni Rais. Alipotoa makala hiyo Ni Kama aliwasogeza Polisi waandamizi kwenye vyombo vya habari maana tunaona clip za RPC Tabora , Mwanza, Tanga, Kanda maalumu, Mara nk kila mmoja akionyesha umairi wa kupiga kazi lakini pia hii Mara nyingi huwa ni trick ya kuonekana na kusikika na viongozi wanaofanya vetting.

Lakini pia Magereza napo Hali ipo hivyo hivyo, linajadiliwa suala la mahabusu kuwekwa na kundi la watu wanaosubiri kunyongwa lakini usikii kiongozi wa Magereza akitoka kujibu maana hajui akijibu kesho kwenye promotion atakuwepo?

Uhamiaji nao wametrend mitandaoni wakitaka wawe jeshi, wakiwa jeshi lazima pia mfumo wao wa uongozi utabadilika so wametumia mbinu hii kuteka nafasi za promotion za presdent baada ya awamu iliyopita kuwaminya nakuwafanya waliotikia kustaafu waende uraiani na vyeo vya chini. Mbwembwe hizi zinatokea kumfanya presdent ajue kwamba lipo tatizo la kiuongozi. Lakini pia baadhi ya matamko mfano IGP ya hivi karibuni hayaonekani Kama matamshi ya mtu mwenye muda mrefu kazini, anakaribia kustaafu so anataka kuweka mambo sawa aache legacy lakini tatizo kila anachotamka kinapata upinzani. Huku wanaowania kuwa IGP wakitulia wasiingie kwenye Mkumbo wa kuharibu cv zao.

Pamoja na Malisa kuwasemea Hawa watu naomba kidogo watulie, wasitende mambo ya ajabu kisa waonekane maana Kama bahati ipo ipo tu. Kama reshaffle ipo ipo tu, Kama mhe.atasikiliza nakusoma makala ya Malisa Basi anao watu wakumshauri na wanaobaki acheni kujitutumua.

Natamani mabadiliko kwenye vyombo hivi labda tutapumua na matamko na amri zisizo na tija.
 
Mabadiliko ya kweli hayawezi kuwepo endapo mamlaka ya uteuzi wao itabaki kwa mwenyekiti wa CCM.
 
ZCO kanda maalum Dar kamanda Shila apandishwe cheo. Mtoto wake NABII SHILA/BILIONEA SHILA anaupiga mwingi sana.
 
Kuna yule mpare mmoja zamani akisemaga ukiichezea CCM unachezea policcm Leo hii sijui busara sijui kazipata wapi.
Hawajagundua kwamba IGP Ni Wambura
 
Kuna mmoja ni zero kabisa sijui kina mama wanafeli wapi,anachojua ni viwili tu akipelekewa kesi ni simamisha au fukuza,ni muathirika wa itikadi za mwendazake yafaa aongoze malaika ndio hawakosei na sio ya simamisha fukuza, .Kuwa na phd sio uwezo wa kuongoza a good admistrator afukuzi Kazi Watu wake bali uwashape, gharama ya kumtrain staff ni kubwa.Unafukuza Watu Kazi kisha unaoenda omba kibali uajiri Watu Kazi hii inakaaje kwa waliosoma admistration,ulio nao unafukuza basi upewe malaika ndio awakosei.
 
Kuna yule mpare mmoja zamani akisemaga ukiichezea CCM unachezea policcm Leo hii sijui busara sijui kazipata wapi.
Hawajagundua kwamba IGP Ni Wambura
Huwezi kuwa igipii kama uwezo wako wa kuumiza Wapinzani ni mdogo kumbuka ccm haiwezi bila msaada wa police.
 
Back
Top Bottom