Viongozi waandamizi wa CHADEMA wakiongozwa na Mhe. Mbowe ziarani mikoa yote Tanzania

Mwisho wa mwezi umekaribia, mgawo wa ruzuku milioni 300 lazima uandikiwe. Huo ni mpango mkakati wa kula ruzuku ya mwezi
Na wewe kachukue kama unastahili, vinginevyo utakula kusikia, wale wa nguo za burebure za kijani na njano wao wameshakula milioni kumikumi za rushwa!
 
Na wewe kachukue kama unastahili, vinginevyo utakula kusikia, wale wa nguo za burebure za kijani na njano wao wameshakula milioni kumikumi za rushwa!
CCM ni chama ila CDM ni saccoss ambayo wenye hisa kubwa ndo wenye maamuzi, hutaki ondoka
 
Back
Top Bottom