Viongozi wa Yanga acheni kujificha kwenye mgongo wa Simba kama sehemu ya kujitetea udhaifu wenu

Drydon

Senior Member
Mar 11, 2019
125
181
Utawasikia wapenzi na mashabiki wa yanga wakikalili kile walichoaminishwa kuwa kila mchezaji aliyesajiliwa na Simba basi walikuwa wao ndio wakwanza kuwa na nia na huyo mchezaji as if Simba inaitumia yanga Kama scouts yao.

Hii yote inasababishwa na hali mbaya inayopitia club ya yanga hasa kipindi hiki wakiamini ktk visasi ambavyo havina manufaa kwa yanga. Wakati Simba wakipambana kumsaini Morison wao walipambana kumchukua Senzo ambae mpaka leo ukimuuliza shabiki yoyote wa yanga senzo kaenda yanga kwa nafasi ya kuwa nani kutokana na mfumo na katiba ya yanga atakuwa hana majibu. Takribani 80% ya orodha ya wachezaji wa nje ambao wapo kwenye tetesi za usajili utasikia amehusishwa na yanga. Mfano;

Aly niyonzima,
Sarpong,
Larry bwalya,
Yacoub,
Makambo,
Water Bwalya,
Sure boy:
Kisinda
Mukoko,
Mugalu.

ETI HAO WOTE WALIHUSISHWA NA YANGA
Hapo hapo sure boy wa hapa hapaTanzania mwenye uwezo mkubwa tu kilichosababisha dili lake lishindikane ni pesa tena mil 70 ambapo hata 50 wangemchukua.

Hlf mtu anatoka hadharani anawaambia kwa GSM hakuna kitu kinashindikana (Wape salaam huu unaitwa uchumia tumbo).
Utabaka uliopo Kati ya GSm na uongozi wa Yanga ndio umetufikisha huku. Hawa watu walipaswa wawe ktk safu ya uongozi km Kuna failure tuilaumu safu nzima Kama Kuna mafanikio tuipongeze safu nzima, Kuna mtu anamwambia msola haongei unataka aongee nini mbele ya GSm unafikil hapendi ugali wake BORA nugaz anajua kumpamba kweli GSM wape salaaaam hii ndio CHAPA GSM hakuna kitu kinashindikana(kwa sauti nugaz).

Note: kwa usajili huu wa yanga Kuna watu tutawakumbuka wakina juma Abdul na Ngasa tuliokataa kuwapa mil 20 tu.
PESA INAONGEA na GSM ndio anayoongea nayo.

Minya pua useme hivi'' Sisi tulishaongea na miquison kabisa Ila Simba wameingilia kati ---''mh guys mmesahau kasumba za hivi vilabu mchezaji atakaekufunga ndio unamtolea macho hivi mlisahau senzo alikuwa Simba aaaaah.Tuleteeni wachezaji kama mna pesa acheni porojo.

TUSIPOJIPANGA KTK UONGOZI NA SAJILI MSIMU UJAO SIMBA WATACHUKUA TENA.
 
Sarpong

Yacoub

Kisinda

Mukoko

Wapo Yanga
 
Back
Top Bottom