Viongozi wa Wilaya, Kata, Mitaa hawa mna hakika wanasaidia wananchi?

Matendo Andrew

JF-Expert Member
Apr 1, 2014
695
500
Wanisamehe Kama nawakosea naujua vema usemi wa no research no right to speak

Lakin Mimi NAISHI uswazi Kuna Mambo yanaendelea mtaani huku Ni hatalishi kabisa na Yana athir watu LAKINI sioni hatua za maksudi zinachukuliwa na kinacho niuma nikwamba haya Mambo yapo NDANI ya uwezo wa SERIKALI za chini kabisa...

Unakutana na mabango ya AJIRA nanamba za simu wameweka ukipiga unaona harufu ya utapeli kabisaaaa

Unakutana na matangazo ya waganga wa jadi n.k jamani najua kunawaganga wamesajiliwa na wanalipa Kodi n.k lakin kila wanao weka mabango mitaani NIKWELI wanatambulika?

Kingine jamani hii kuungwa na Freemason imekaaje mbona Kama imekaa kitapeli Sana ?
SERIKALI za MITAA kwani hamuwezi kuchunguza na kuzuia hizi Mambo mitaani kwetu? Zinatukera...

NB: MFANO WA MABANGO HAPA CHINI YAPO MTAANI KWANGU HILO LAAJIRA NIMEWAPIGIA WAMESEMA NIENDE TEMEKE MWISHO NAENDA NITALETA MREJESHO...

HILO LINGINE NIMEOGOPA KUPIGA MWENYE ROHO APIGE AWA CHARANGE

IMG_20210719_150459_424.jpg
View attachment 1860001

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom