Noel Shao
Member
- Jan 19, 2017
- 89
- 185
Hatuwezi kuleta mabadiliko makubwa ya kisiasa na kiuchumi katika taifa kupitia upinzani kama tukiwa na watu wanao hama hama! Ifike wakati tuweke utaratibu mazubuti wa kuwa na viongozi/wabunge/madiwani . Kama kweli mtu anataka kuaminiwa kupewa nyadhifa fulani ndani ya chama, aape/ale kiapo cha uaminifu, kiapo cha kutunza siri, na kiapo cha kutohama. Tumuapishe kwa Biblia kama ni mkristo, au Msahafu kama ni mwislamu na kama hana dini tuangalie utaratibu utakaofaa!
Ndimi, Noel Shao
[HASHTAG]#mjenziWaTanzaniaMpya[/HASHTAG]
Ndimi, Noel Shao
[HASHTAG]#mjenziWaTanzaniaMpya[/HASHTAG]