maganjwa
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 2,800
- 2,337
Katika hali ya kusikitisha sana awamu hii vyama vya wafanyakazi wamenyamaza kimya huku wakiwakata wafanyakazi 2% kila mwezi.
Rais anawaamuru wanufaika wa bodi ya mikopo wakatwe 15% badala ya 8% kazi yenu basi kama watetezi wa wafanyakazi nini?
Jambo hili linaendelea kuwatafuna wafanyakazi nyie mmetulia tu uhalali wenu uko wap?
Viongozi wa vyama vya wafanyakazi mje hapa mtuambie sababu za kunyamaza kimya hata kufungua kesi kwa jambo la wazi namna hii maana tunashindwa kuwaelewa.
Cwt, Talgwu, Tughe Chodawu, Raawu Ebu mje hapa mbona hatuwaelewi. Mna wanasheria mmeajiri kwa ajili kuwatetea wafanyakazi na huku mkiwalipa kila mwezi mshahara kupitia makato ya wafanyakazi.
Nina uhakika na Cwt wanao wanao wanasheria kama ndo ivi hasa kwa jambo la wazi nna hii uwepo wenu una manufaa gani kwetu?
Nawasilisha