Viongozi wa vyama vya siasa muungane mtoe tamko la pamoja kuitaka serikali iwajibike

walivyomwuawangosijpg-2204219_p9.jpg

Kumbe hawa ndiyo CHADEMA. Sasa hiyo serikali na Polisi ikowapi hapa??
 
Sasa serikali iko huku? Si kawafuate maofisini kwao uwape mawazo hayo.
 
pole Mwiba ujumbe wako hautawafikia vuzuri walegwa wako tafadhali ungempelekea mwenywe Nape pale rumumba ili akufikishie kwa wahusika huku unatuboa tuu
 
Last edited by a moderator:
Huyu mleta maada anazungumzia vyama vipi vya siasa? au anamaanisha CUF, NCCR, TLP, UDP, CHADEMA, CCM na vinginevyo?oa

Ukit CDM hapo hao wengine ni AGENT WA CCM sasa watoe matamko yapi? na matamko yanatosha kinacho bakia ni vitendo tu

Ikiwezekana hata ccm kwa sababu ni chama cha siasa ndo maana sijabagua kama kweli wana uchungu na watanzania waungane kwa pamoja kwa kumuwajibisha mwenyekiti wao kwa kukaa kimya na kuangalia mauaji ya kila mara kwenye taifa hili kwa sababu inaonekana mwenyekiti akubaliani na maamzi yanayokuwa yanatolewa na chama chake, mfano nipale anapoendesha siasa za kihuni kwa kumuita nape ikulu na kwenda kuchukua pesa pasipo kufuata utaratibu kwa kupitia katibu wake.
 
kunampango wa kegeuza mauaji ya mwandishi wa habari huko iringa na mpango huo umesukwa kwa kumshawishi kigogo wa juu serikalini kuzungumza na wanafamilia wa marehemu na zaidi awahaidi ahadi tele. Pia kigogo huyo atatakiwa kuhakikisha wanafamilia hawafungamani na CHADEMA na WANAHABARI. Kigogo huyo atatakiwa kuhakikisha familia inatoa tamko kali dhidi ya chadema. Familia itapokea fungu kutoka kwa msamalia huyo FEKI ambaye ameandaliwa. Mbali na hilo jeshi la Polisi limetakiwa kuwatoa kafara baadhi ya askar waliohusika ili kuilaghai jamii, IGP ametakiwa kuhakikisha anawalaghai viongozi wa chadema na waandishi wa habari kwa kauli laini ili watulie huku akifanya mpango wa kuhamisha tuhuma na kujisafisha. Kutokana na hilo, nawaomba CHADEMA, WANAHABARI, HAKI ZA BINADAMU na WANAHARAKATI kuitisha maandamano nchi nzima na kupinga unyanyasaji huu.
 
Inawezekana ni kweli wanatumiwa na nyie Chadema ,kwenye andiko langu lisikutaja Chadema inahusika,lakini nawona mmekuja juu na kunyoosha vidole,mnaonyesha dalili za wasiwasi.
 
Back
Top Bottom