Viongozi wa UVCCM watembelea waathirika wa mabomu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viongozi wa UVCCM watembelea waathirika wa mabomu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by EMT, Feb 18, 2011.

 1. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #1
  Feb 18, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Hivi ni kwa nini Watanzania tunapohojiwa juu ya jambo zito tuna tabia ya kuchekacheka? Pia kwenye hii video clip utaona in the background kuna jambo linaendelea la kuwatambua watoto lakini hawa viongozi wa UVCCM ndio wanaonekana ni bora zaidi kwenye interview yenyewe. Kama wamekuja kuzuga vile waonekane na wao walikwepo. They dont even know what they are supposed to do there.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...