Viongozi wa upinzani [UKAWA] tunahitaji matendo zaidi ya maneno

NSHOMA FRANCOUS

JF-Expert Member
Feb 14, 2012
698
324
Nawashanga sana mmekubali kusubiri kula ya maoni ya katiba mpya wakati kila sehemu katiba pendekezwa haikubaliki,kula zitachakachuliwa mtabaki mnabwabwaja tu! tunahita watu kama BESIJE wa uganda,tembeeni kwa miguu kwenda maofisini kuipinga,kama mnaipenda kweli nchi hii,nyie ndo icons katika siasa! fanyeni kama Baba lamidevu kule india tuone kama kweli mko serious
 
Duh! Labda UKAWA wenyewe watakuelewa

Kumbe unawaelewa? ama hii ID yako wanaitumia watu zaidi ya kumi, kwa wakati mmoja.

Umetoka kunijibu kwenye thread nyingine, huwajui UKAWA,

Hapa unaonyesha unawatambua.

Kazi njema mkuu, sasa nimekufahamu.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom