Viongozi wa uamsho wafikishwa mahakamani

HIVI KWA NINI HAWANYONGWI????! halafu kiswahili chenyewe nacho butu, tuachwa tupumu'we'!!! HIVI WANA MAANA GANI?? AU NDIO MAANA YA KUJITOA KWENYE MUUNGANO?? yaani kutokwenda shule ni mzigo mkubwa sana!!! sijui nani aliwaroga watu hawa??

Usikaririri kutokwenda shule Tanzania hakuna dini!umefanya research wapi?nenda Iringa,Mbeya,k'njaro na Mwanza alafu hesabu wasiosoma na dini zao uje utuambie!hiyo ni obvious kupata wasiosoma Znz ni waislamu!
Au Mulugo naye ni muslim?wakoloni nuksi sana!
 
Mi nilifikiri wamejipanga, nashangaa wanapitisha bakuli la mchango. Sasa ikitokea hiyo vita mnayoitafuta mtakimbia kuwa wakimbizi kwa nauli ipi?
 
Leo ni jumatatu siku ya kazi,sasa hao wanaambiwa wakusanyike kwa wingi ina maana hawana kazi? Naomba kujua
 
kutoka page yao ya facebook.

"TUPO MAHAKAMANI HAPA............ Ndugu Wakiisalamu.
Assalama Aleykum W.W Hapa Tupo mahakama ya Mwanakwerekwe
tunawasubiri viongozi wetu waletwe hapa.ili
tusikilize hiyo kesi na tuweze kuwachukulia
dhamana.
Ila kwa kumujibu wa wakili wetu anasema
wanashtakiwa kwa kuchochoe vurugu zanzibar. Tunaombwa waislamu tuje kwa wingi na Tuje na
vitambulisho vyetu vya Mzanzibar ikiwa vitahitajika
kuchukua dhamana.
Vile vile tunaombwa Waislamu tuchangie harakati
hizi kwani ukiachia viongozi kuna watu wengine
walokamatwa wanafika 60 wote wanahitaji msaada wetu hiyo basi baada ya muda mfupi tutaweka
acount yetu ya Tigo Pesa iliuweze kuchangia jitihada
hizi. Kwa wale ambao hawatumii huduma hii wanaweza
kuchangia kwa kupeleka mchango wao mskiti wa
mbuyuni kwa Imamu. WABILAHI TAUFIQ
TUACHIWEE......TUPUMUWEE..."

Kumbe wahuni wana mawakili siku hiz!!
 
leo ni jumatatu siku ya kazi,sasa hao wanaambiwa wakusanyike kwa wingi ina maana hawana kazi? Naomba kujua
hakuna kitu kibaya kama kukosa elimu!! Nitawapiga wanangu mpaka niwatengue viuno, when it kams to education!!
 
kutoka page yao ya facebook.

"TUPO MAHAKAMANI HAPA............ Ndugu Wakiisalamu.
Assalama Aleykum W.W Hapa Tupo mahakama ya Mwanakwerekwe
tunawasubiri viongozi wetu waletwe hapa.ili
tusikilize hiyo kesi na tuweze kuwachukulia
dhamana.
Ila kwa kumujibu wa wakili wetu anasema
wanashtakiwa kwa kuchochoe vurugu zanzibar. Tunaombwa waislamu tuje kwa wingi na Tuje na
vitambulisho vyetu vya Mzanzibar ikiwa vitahitajika
kuchukua dhamana.
Vile vile tunaombwa Waislamu tuchangie harakati
hizi kwani ukiachia viongozi kuna watu wengine
walokamatwa wanafika 60 wote wanahitaji msaada wetu hiyo basi baada ya muda mfupi tutaweka
acount yetu ya Tigo Pesa iliuweze kuchangia jitihada

hizi. Kwa wale ambao hawatumii huduma hii wanaweza
kuchangia kwa kupeleka mchango wao mskiti wa
mbuyuni kwa Imamu. WABILAHI TAUFIQ

TUACHIWEE......TUPUMUWEE..."
Kumbe!!.....
 
....... ingependeza hakimu akikaa leo ni kesi moja kwa moja na hukumu leo hakuna kuahirisha .........................
 
Taarifa ya moja kwa moja kutoka Star Tv, imesema viongozi wa Uamsho wapatao kumi hivi wamefikishwa mahakamani huko Zanzbar..!
 
Taarifa ya moja kwa moja kutoka Star Tv, imesema viongozi wa Uamsho wapatao kumi hivi wamefikishwa mahakamani huko Zanzbar..!

wafuasi wao hawataandamana tena kuishinikiza serikali iwafutie viongozi wao mashtaka kweli?
 
sasa kama serikali inataka kuanza kuwa serious, wasionewe, wapewe haki zote za watuhumiwa na utu na uhuru wao uheshimiwe ikiwa ni pamoja na dhamana ila kesi iendeshwe kufuata sheria za nchi bila shinikizo za kidini au za kisiasa!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom