Naomba niseme Ukweli, Mimi ni Mwalimu idara ya Sekondari nina mashaka na hii tume wa kuratibu mambo ya walimu viongozi wake wake kuteuliwa na Rais. Serikali kawaida haipendi viongozi watakao ibana mbavu Hata ikikosea, ndio maana CHAMA cha walimu kimefariki kibudu, tunatukanwa, tunakashifiwa, viongozi wa CWT NA TUCTA wameweka ntaa masikioni.
Hawa vigogo Walio teuliwa na Rais watatoa jicho kutetea maslahi ya walimu Kweli au watalinda matumbo yao kwanza? Walimu wenzangu tusije tukawa tumegawa bunduki tukaazima Rungu ili ya kuimarishia ulinzi.