Viongozi wa TSNP waitikia wito wa kufika kwa Mpelelezi wa Makosa ya Jinai DCI

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,262
Viongozi watatu wa TSNP leo wameitikia wito wa kufika kwa Mkuu wa Mpelelezi wa Makosa ya Jinai DCI leo Machi 14, 2018.
IMG_20180314_085556.jpeg
 
Hiyo barua mbona ina tarehe mbili tofauti? Ya juu ni 06/03/2018 na ya chini ni 14/3/2018. Huyu afisa habari awe mwangalifu zaidi.
 
Huenda nao wakafanyiwa uchunguzi wa kisayansi.. Aisee
 
Walioenda huko ubayani ni nani na nani? Asijeenda mwanangu huko wakampime kisayansi,patachimbika hapo Posta kwa DCI hakika. Naomba majina ya walioenda huko kwa wasiojulikana
 
Back
Top Bottom