Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,113
- 24,642
Ni mara kwa mara tunashuhudia pale nchi yetu inapopokea wageni hasa viongozi kutoka nchi za nje, viongozi hao wakitoa misaada mbalimbali na kusaini mikataba kadhaa ya kuwekeza nchini mwetu!
Licha ya misaada hiyo, pia viongozi hao kutoka nchi za nje wamekuwa wakisaidia nchi kupewa mikopo kutoka nchini mwao kwa ajili ya kuboresha miundombinu, na uanzishwaji wa biashara na mambo mengine.
Sasa je viongozi wetu wanavyotembelea nchi nyingine hutoa misaada na kusaini mikataba ya kuwekeza huko wanakokwenda kutembelea?
Je nchi yetu kwa mgongo wa viongozi wetu pale watembeleapo nchi nyingine, wamewahi kutoa mikopo kwenye nchi yoyote kwa ajili ya kuboresha miundo mbinu ya nchi hizo...