Viongozi wa Tanganyika/Tanzania Munamtukuza ( ) Lakini Maneno yake Hamuyatekelezi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viongozi wa Tanganyika/Tanzania Munamtukuza ( ) Lakini Maneno yake Hamuyatekelezi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by GHIBUU, May 8, 2011.

 1. GHIBUU

  GHIBUU JF-Expert Member

  #1
  May 8, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,187
  Likes Received: 700
  Trophy Points: 280
  Nashangwazwa sana kuona watanganyika wanamtukuza sana Nyerere Kwa jina jengine munamwita baba wa taifa,katika hutuba yake baba huyu ya 1995 aliongea kuhusu muungano wa tanzania.

  Alitamka haya.
  Ikiwa wazanzibari wataamua wenywe kujitenga bila ya kushindikizwa na taifa lolote basi waacheni wajitenge,haya maneno aliongea mbele za umma kwa kinywa kipanda.

  Tumeshuhudia migogoro ya muungano tuka ufanyike muungano huu,na mwisho juzi tu katika majadiliano ya katiba wazanzibari wametamka live live kuwa muungano hawautaki.

  Sasa mbona viongozi wanaulazimisha muungano,wakati baba yenu ameshatamka kuwa tukiamua kujitenga wazanzbari tuachiwe kwa nini munatulazimisha ? 208238_10150146352486176_721596175_6946057_2281263_n.jpg 218173_10150146350811176_721596175_6946051_3575373_n.jpg 1963-UN-Zanzibar.jpg
   
 2. GHIBUU

  GHIBUU JF-Expert Member

  #2
  May 8, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,187
  Likes Received: 700
  Trophy Points: 280
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #3
  May 8, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Kwenye red umeandika as if wewe Mkongo vile, halafu baadae unaharibu hapo kwenye buluu!
   
 4. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #4
  May 8, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Kwenye red umeandika as if wewe Mkongo vile, halafu baadae unaharibu hapo kwenye buluu!
   
 5. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #5
  May 8, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Kama mnauchukia Muungano msingeusherehekea tarehe 26/04/2011! Acheni unafiki!

  [​IMG]
  Rais wa Jamhuri ya Muungao wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais wa Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa Michezo wa Amaani mjini Unguja kuongoza sherehe za miaka 47 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

  [​IMG]
  RAIS JK AKISALIMIANA NA MAMA FATMA KARUME PAMOJA NA MAMA SITTI MWINYI WAKATI WA KUSHEREHEKEA MIAKA 47 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR!
   
 6. Pharaoh

  Pharaoh JF-Expert Member

  #6
  May 8, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Sasa anacheka nini? amdanganye nani kuwa mambo poa? hili ndio tatizo, viongozi kuchekeana huku wakituumiza raia
   
 7. GHIBUU

  GHIBUU JF-Expert Member

  #7
  May 9, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,187
  Likes Received: 700
  Trophy Points: 280
  Huyu Rais aliwekwa hapa zanzbar kwa mabavu,lakini muungano wananchi hawautaki..na wewe angalia hapa...

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Pharaoh

  Pharaoh JF-Expert Member

  #8
  May 9, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Tusipoangalia Zanzibar itatupinduwa na kututawala, vikosi vya majeshi yao yako kwao na tiifu kwa Rais wa Zanzibar, vikosi vya Bara wanavyo wao, Rais wetu ni Muislamu na inadaiwa yupo upande wa Zanzibar ki vyovyote, na tukumbuke Bagamoyo ni sawa na Zanzibar kuliko bara, pia Rais siasa ameianza akiishi Zanzibar, au ni mradi wao wa muda mrefu? pia Mwinyi ndie aliyefanya kila jitihada ya kumchukua huyu kanali na kumpa wizara nyeti ya nje, kisha akajaribu kugombea hapohapo kabla Kifimbo hajamzuia, mi naona tumeshakwisha, hizi tabasamu za Jk wakati jamii hasa ya bara inaangamia, sasa hao waliochomewa? na teyari wameandaliwa wanasheria na pesa kuwasaidia hao mashujaa waliochoma maduka wa wabara www.mzalendo.net
   
 9. GHIBUU

  GHIBUU JF-Expert Member

  #9
  May 9, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,187
  Likes Received: 700
  Trophy Points: 280
  Pindua uwone hapa tanzania itakavyokuwa kama iraq,tutajitoa muhanga hadi dunia inamaliza,wewe unafanya mchezo na maisha eeeh,,watu wamechoka na maisha,bunduki na bomu hapa zanzbar ni kama panda na yubabendi zile tunavyocheza utotoni,,,,

  Be careful na maneno yako,,,
   
Loading...