mwanateknolojia
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 1,025
- 1,743
CCM ndiye kivuruge wa hayo yote!
Hiki chama chakavu kimekuwa kikiwapelekea barua za mialiko na kuwalazimisha makamanda wa polisi kushiriki vikao vyao na hivyo kuwapa maagizo ya hovyo kuwalazmisha kuwakandamiza wapinzani! Binafsi namshauri kwa upande mwingine ningemshauri Lissu hao makamanda wa polis wote awaache, ili haohao ndio watumike kuishi na CCM kama jinsi CCM inavyoishi sasa na wapinzani!
Nazani hawa watafaa zaidi kwakuwa wanachotumwa kufanya sasa watakuwa wanakikumbuka, hivyo watatekeleza kwa viwango vilevile walivyofundishwa na ccm, ila tofauti itakuwa ni jina tu la chama kilichoteuliwa kusakamwa kwa kila aina ya ukandamizaji!