Viongozi wa Serkali za mitaa/vijiji mtakaochaguliwa kipaumbele kiwe kupanda miti na kutunza mazingira

Amin Mkuu umeonyesha akili yako hapa ile ya kubebewa na dada halima mdee umeiweka pembeni

Mazingira ni uhai Mkuu

Tukipanda miti hata ile kiwango cha furaha kitaongezeka

Hili waziri jafo na Waziri wa mazingira wanatakiwa watoe kipaumbele

Mpango mkakati uwekwe kwa ajili kuboresha mfuko wa mazingira kama vile mfuko wa mawasiliano kwa wote ulivyosaidia Wananchi wa vijijini

Tuyatunze mazingira tusiwe wabinafsi ili turithishe kizazi kijacho

Naona umeamua kunifanyia kejeli baada ya kukuomba msamaha hivyo unadhani nimekuwa mjinga. Umesema nikuheshimu niache mambo personal, nimetii na kujishusha ili twende sawa maana ni hoja ya kitaifa, lakini naona umerudi kunishambulia mimi binafsi. Ngoja nikuonyeshe heshima kwa kuwa hii ni hoja ya wote na ina umuhimu. Najua pa kukupata, jiandae maana huna heshima.
 
Back
Top Bottom