Viongozi wa NCCR-Mageuzi Mwanza wajiuzulu, wasema Mbatia kauza chama kwa CHADEMA

May 11, 2015
16
6
Viongozi wa chama cha NCCR - MAGEUZI Mwanza inasemekana wamejiuzuli uongozi ndani ya chama chao kwa madai ya M/kiti wa chama hicho James Mbatia kukidhohofisha chama kilichokuwa na wabunge wanne na sasa kina mbunge mmoja.

Waliojiuzulu inasemekana ni Kamishina wa mkoa Ramadhan Amran, M/kiti wa jimbo la Nyamagana na Ilemela na Kiongozi wa vijana Nicolas Clinton.

Watongea na vyombo vya habari jioni hii.
 
Mbatia ni mbunge wa jimbo. Na si mteule wa rais tena kupitia NCCR kama kuna mtu inamuuma achemshe ndimu na pili pili anywe supu.
 
Ni haki Yao kikatiba na ni kweli mbatia kaua Chama kwa maslahi binafsi... Maana aliwaacha waliokuwa wabunge wa Chama chake kujipigania Bila Msaada wa Chama
 
Ni vizuri wak
Ni vizuri wakijiuzulu kwa kuwa wao wenyewe walifanya jitihada gani kuhakikisha wagombea wa chama chao wanashinda? Wao wanataka kula bila kufanya kazi sawasawa. Mwenyekiti wao alikua anapigania jimbo la vunjo na alishinda. Wao ni nini mchango wao katika kukijenga chama? Watu wa namna hiyo ni vizuri wakaondoka kwenye vyama vya siasa kwani ni mizigo hiyo. Wanaoshindwa kuishi katika wanachokiamini.
 
nccr wasijiangalie kama chama na kuwa wana mbunge 1 pale bungeni wabunge wote wa upinzani ni Ukawa tu, hata hawo chadema na cuf wanawakilisha ukawa tumeshatoka huko kwenye individual issues.

Tutaiwakilisha Nccr kupitia Ukawa.
 
ukawa ni kichwa cha mwenda wazimu tena anayechoma nyumba yake ili aote moto,kisha akitaka kulala baridi ikiisha anaanza kujuta ndo NCCR-MAGEUZI hiyo
 
Ni vizuri wak
Ni vizuri wakijiuzulu kwa kuwa wao wenyewe walifanya jitihada gani kuhakikisha wagombea wa chama chao wanashinda? Wao wanataka kula bila kufanya kazi sawasawa. Mwenyekiti wao alikua anapigania jimbo la vunjo na alishinda. Wao ni nini mchango wao katika kukijenga chama? Watu wa namna hiyo ni vizuri wakaondoka kwenye vyama vya siasa kwani ni mizigo hiyo. Wanaoshindwa kuishi katika wanachokiamini.

Viongozi hao ni wajinga sana hv chama kikipata mbunge mmoja tena mwenyekiti,hv walitaka mwenyekit ajigawe vp,Uelewa mdogo wa viongozi hawa ndio unaosababisha wanajiuzulu,kwa uchaguzi wa mwaka huu uchakachuaji ulikuwa wa kibabe je mwenyekit anahusikaje.Wapumzike tu hawana sifa.
 
Back
Top Bottom