Viongozi wa Makampuni ya Polytra na Impala wakutana na Waziri Mkuu Majaliwa

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,575


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Bw. Jaskaran Chugh ambaye ni Mwakilishi Mkazi wa Kampuni ya Polytra International yenye Makao yake nchini Ubelgiji (katikati) na Bw. Mark Lemki wa Kampuni ya Impala ya Switzerland, Ofisini kwake Bungeni
 
Wawe na nia nzuri tu, sio kama wengine baada ya miaka 3 au 4 unasikia katufanyia ufisadi wa kutisha
 
Kama wawekezaji wa ukweli hatuna shida nao, wanakaribishwa kwa moyo mkunjufu
 
Back
Top Bottom