Baba Wawili 2012
JF-Expert Member
- Mar 21, 2012
- 413
- 335
Wandugu swalama,
Hivi jioneeni kweli hawa waheshimiwa walikwendea S.A kuombeleza au Picnic??
kamera zimewanasa waziri mkuu wa UK, Cameroon , Waziri mkuu wa Denmark bibie Helle Thorning-Schmidt na Rais Obama wakiwa kama wameenda picnic...au kuangalia soccer....
Nawakilisha
source: Barack Obama and David Cameron pose for selfie with Danish PM | World news | theguardian.com