Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,227
- 113,582
Wa SA wenyewe walikuwa ni ngoma na kuimba na kusherehekea. When you are in Rome...
Na kweli lakini.
Wa SA wenyewe walikuwa ni ngoma na kuimba na kusherehekea. When you are in Rome...
Wanajipiga selfie utadhani vi-teenager bana....halafu 'Chelle kanuna huyo:smile-big:. I think this was kinda out of place, though.
Michelle is a real black woman. Sie waswahili hatujipigi picha msibani bwana. Nimewashangaa kweli
Color has nothing to do with anything there. Inappropriate behavior knows no color. Na kama wewe unavyowashangaa hao kujipiga selfie, kuna wengine wengi tu wanawashangaa Waafrika Kusini kuimba na kucheza huku wakiwa wamefiwa. Wengine hawaelewi kabisa mtu unawezaje kufiwa halafu ukaanza kuruka ruka barabarani kama mlevi.
Halafu ona hii. 'Chelle seems to not be impressed at all. Classic.
ila naona watu wengi hawana majonzi...sijui kwa nini
Color has everything to do with this particular one behavior, na wanaofanya hivyo weusi ni kwa kuiga tu. Weusi tunachukulia msiba kama a sacred thing, labda kwa sababu tunakufa more often than not.
Watu hawahuzuniki bali wanasherehekea maisha ya Mzee Mandela. Its time to learn and celebrate life of "one and the only one" Nelson Mandela. The world will never see again the likes of Mandela thats why people are celebrating.
Wanawake wa kiafrika ndiyo zao hizo!
Kila nchi/kabila lina tamaduni zake. Mara ya kwanza nilistaajabu kuona watu wanapiga vigelegele msibani Tukuyu-Mbeya. Hii ya hapa S.A nikutokana na desturi zao hasa kwa mzee aliye na umri mkubwa. Pia kwa kipindi hiki s.a pamegeuka kuwa sehemu ya kujaa kutalii
we vic wewe hivi unajua hao watu wanaishi kama sisi laiti tungekuwa tunaona maisha yao nje ya camera unaweza cheka. obama hadi kipindi cha campaign alikuwa anapeleka watoto shule na kuwarusisha ha haa so nice kibongobongo kukuta mdingi anakupeleka labda mambo safi kwelikweli it was his duty mke wake alikuwa anawaandalia chakula na nguo na kuwaamsha afu jamaa anawapeleka. infact mke wa jamaa yuko very straight and strict sio mpenda matani na mizaha kama mumewe kuna kipindi hadi yule binti mkubwa alipigwa beat kuonekana facebook mama sio wa kuchezea yule am sure siku hiyo obama aliipata ha ha haa hsaaIla si unajua tena ukiwa mke wa public figure,inawezekana hatomuuliza yameishia hapo hapo uwanjani
Michelle baadae aliona liwalo na liwe,michele yeye akaamua kukaa karibuna yule mama,yaani Obama alivyotoka kuhutubia akamkuta michelle ka switch kitiwe vic wewe hivi unajua hao watu wanaishi kama sisi laiti tungekuwa tunaona maisha yao nje ya camera unaweza cheka. obama hadi kipindi cha campaign alikuwa anapeleka watoto shule na kuwarusisha ha haa so nice kibongobongo kukuta mdingi anakupeleka labda mambo safi kwelikweli it was his duty mke wake alikuwa anawaandalia chakula na nguo na kuwaamsha afu jamaa anawapeleka. infact mke wa jamaa yuko very straight and strict sio mpenda matani na mizaha kama mumewe kuna kipindi hadi yule binti mkubwa alipigwa beat kuonekana facebook mama sio wa kuchezea yule am sure siku hiyo obama aliipata ha ha haa hsaa