Viongozi wa Magufuli wana mbinu zinazofanana, Alichokifanya Makonda kinafanana na Kitwanga

Good People

JF-Expert Member
Aug 6, 2016
945
1,819
Ikija kwenye Suala la kuvuruga na anatakiwa kujiuzulu au Kufukuzwa naona wale waliopewa Post/kazi na Rais wanatumia Mbinu moja ya kung'ooka Ikiwemo Kitendo alichokifanya aliyekua waziri ndugu Kitwanga kulewa Bungeni na Kitendo cha kihuni alichokifanya Paul Makonda.
 
Tukiachana na Makonda, tuendelee na mapambano yetu dhidi ya madawa ya kulevya
Ya Madawa ya Kulevya anayo Kamishna Siang'a! Sasa Ni Jambazi Bashite na Uvamizi kwenye TV stations! Hiyo tu inathibitisha pqsipo Shaka kuwa tuna Mkuu wa Mkoa ambaye ni Criminal! Amezoea kufanya Uhalifu, na ataendelea asipodhibitiwa! Sehemu yake ni Segerea!
 
Back
Top Bottom