Viongozi wa machinga Dar wakumbana na vurugu wakiwapanga wenzao

Wafurushwe,miji na majiji yakae sawa..Na kila anayekuja mjini ajue anakuja na mipango inayoeleweka..sio kuja kujenga vibanda vichafu kwenye miundombinu ya barabara.
Wasafishwe mpaka vijijini yani pasiachwe mahala. Kila kona ta nchi iwe nyeupe. Hawataki warudi kulima vinginevyo waende walipopangwa.
 
Back
Top Bottom