Viongozi wa kuteuliwa wawe na mda maalum kama marais | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viongozi wa kuteuliwa wawe na mda maalum kama marais

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Danniair, Nov 9, 2011.

 1. D

  Danniair JF-Expert Member

  #1
  Nov 9, 2011
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 361
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tukubali kuwa viongozi wetu wa kuteuliwa ( wenyeviti wa mitaa, madiwani, wabunge ambao huibuka na kuwa mawaziri) watungiwe sheria ya kuwa na vipindi maalumu vya uongozi kama ilivyo kwa marais wetu na wabunge wa viti maalum. Pia watungiwe sheria ya kutokuwa na imani nao mara watakapobainika kuwa hawawajibiki vilivyo kwa wananchi. Hoja hii naitoa baada ya kufanya uchunguzi na kuona kuwa umaskini wetu unatokana na viongozi hawa , hasa wanapowakumbatia wafanyabiashara na kuwasahaau wananchi, huku wakijilimbikizia kwa ajili ya uchaguzi ufuatao. Angalia kila mgogoro wa kikundi cha wazalendo, nyuma yake kuna viongozi hawa. Nao ndio wanafanya hata malengo mazuri ya marais wetu yasifikiwe.
   
Loading...