Viongozi wa kidini kemeeni watawala wa serikali wanaojifananisha na Mungu

bibiinna

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
647
429
Nionavyo hawa hawafanyi kazi ambazo wanatakiwa kuzifanya na inanipa wasiwasi kama wanao uwezo wa kutuunganisha na tukawa kama zamani. Hawa walitakiwa kukemea kwa nguvu zote pale yule Mh. aliposema akisimama yeye ni kama Mungu kasimama.

Ninaamini Mungu anawaona.
 
Nionavyo hawa hawafanyi kazi ambazo wanatakiwa kuzifanya na inanipa wasiwasi kama wanao uwezo wa kutuunganisha na tukawa kama zamani. Hawa walitakiwa kukemea kwa nguvu zote pale yule Mh. aliposema akisimama yeye ni kama Mungu kasimama.

Ninaamini Mungu anawaona.
Sio shabiki wa siasa mimi,,,,na kwa ufupi hakuna siasa nchi hii,,,,yote yanaelekea kuwa siasa tu bali si siasa.
Hapa nadhani huu mjadala ungeenda kule jukwaa la Dini,,,,,tungejadili kidini zaidi,,,,mi nahisi wewe hukumwelewa,,,yeye aliongea kiimani na imeandikwa................
Alijifananisha na Mungu ila Hkujilinganisha na Mungu..............."NIMEWAUMBA WANADAMU KWA MFANO WANGU",,,,hivyo basi twamfanana.

Huko nimetoka, mwenye ufahamu na afahamu, wakuelewa na aelewe.

Ila mimi sidhani kama hii ni aina ya Demokrasia inayofanyika, enyi wananchi mnaochekelea na kupiga makofi wakati anapowataja na kuwaaibisha viongozi wenu wa serikali za mitaa, mtakuja kujuta haki ya nani nawaambieni,,,,,,,,,,,,,kuna taratibu hazifuatwi bado,,,,,na kamwe hamtapata majibu sahihi kwa kumsimamisha mtu gafla eti ajibu,,,,,,,,,,,,,,,,,lol....pengine nafikiri elimu ya siasa ifundishwe hata mashuleni kuanzia che ke che a...........
UONGOZI SIO KIPAJI NI TARATIBU,,,,,,,,,,,,,,,,,,,kama ni kipaji basi kila mtu ataongoza kwa kufuata matakwa ya KIPAJI CHAKE.
 
Kuna kiongozi mmoja wa dini nilimshangaa aliposema haoni kosa kwa kujifananisha kwake na Mungu eti kwa kua anatetea wanyonge, na hayo ni matendo ya kiMungu hivyo ni sawa kwake kujiona Mungu.

Ukiachilia mbali hilo alilosema ya kua anatetea wanyonge ambalo nalo bado ni la mashaka na halipo kama linavyosemwa imani nyingine inayosapoti mtu kujifananisha na Mungu ni Freemasonry.
Ndiyo maana Kanye West anajiita Yeezus akimaanisha Jesus na Jay Z anajiita Jay Hova akimaanisha Jehova.

Viongozi wa dini ni ngumu kuingilia hili kwakua wao wenyewe wamenunuliwa, waislamu wanajengewa jengo la BAKWATA, wakristo wanapokea mamilioni ya Harambee zisizoisha. Nani atamfunga paka kengele?
 
Back
Top Bottom