Viongozi wa kampuni ya kuzalisha umeme ya Songas wakutana na Balozi wa Marekani

Richard

JF-Expert Member
Oct 23, 2006
12,884
2,000
..nilitegemea walau mmoja kati ya hao apigwe marisasi kwa usaliti na kuuza rasilimali zetu. badala yake walenga shabaha wakaelekezwa kummaliza mtanzania aliyetumia ujana wake wote kupigania rasilimali za nchi hii.

cc Pascal Mayalla, Mag3, The Palm Tree , Richard, tindo
Naona jamaa kamsahau Nyalandu maana juzi kakubaliwa kurudi CCM.

Kuna wakti mtu wakesha unawazia ujinga tulio nao.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom