Viongozi wa Kagera (especially wabunge) badilisheni approach yenu

Kabulala

JF-Expert Member
Oct 13, 2019
695
935
Hello members,,

Nimekuwa nikifuatilia discussions nyingi katika jukwaa hili kuhusu uduni wa maendeleo ya Kagera despite ya factors zote nzuri nzuri kuhusu Mkoa wenyewe.

Lawama nyingi zimewaendea diaspora wa Mkoa ambao huko walipo wanang'ara sana katika Tasnia zao. Wabunge wa Mkoa huu asilimia 99% ni product ya kundi hili na ushauri wangu kwao ni kutumia fursa ya mkoa ya kuzungukwa na Takribani nchi zisizopungua 4 na kuwasaidia vijana na wanaKagera Kwa ujumla kutafuta fursa zinazopatikana katika nchi hizo jirani kwa maana ya biashara na uwekezaji katika kilimo (Kagera ni fertile Sana).

Siasa ya msimu ya Dodoma (bungeni) sioni ikitatua matatizo ya Kagera. Mkuu wa Mkoa Gaguti naona anafanya vizuri but yeye peke yake hataweza; wanaKagera wengi wanajitahidi sana kutengeneza tofauti lakini juhudi sometimes huwa zina limitations depending on what you know or can do and who you know.

Na Kwa wale wenye mafanikio popote pale mlipo Duniani, nawaombeni waamini mliowahacha mkoani kwa kuwapatia fursa, knowledge na connections ili wapambane kusukuma maendeleo ya mkoa wenu ili hata siku mnazopata fursa ya kutembelea roots zenu mpate fahari ya kuwa sehemu ya mafanikio.

Note: Please, wenye positive additions naomba mfanye hivyo kwani ikifanikiwa Kagera itasaidia kukuza uchumi wa Taifa. Binafsi sioni tija kuwa na mtandao mkubwa wa wasomi na wafanyabiashara wa kimataifa ambao hawawezi ku-trickle down at least chembe chembe za umahiri wao katika society ambazo I bet wengi wameanzia safari zao za mafanikio yao kwazo.
 
Yapo mambo mengi yaliyoahidiwa kutekelezwa majukwahani lakini wananchi hawaoni mrejesho na wala hawarudi kueleza kwa nini wamefikia wapi.Wananchi wa Kagera ni watu docile /watiifu kwa uongozi lakini wapo watu wanaowaonea kwa kisingizio cha wale ni NSHOMILE ,wana ukabila mambo hayo ni ya kizamani/ yameisha pitwa na wakati .Uongozi wa nchi usiwanyime maendeleo wananchi wa Kagera ni wananchi wazuri wanaopenda maendeleo hawana kelele nk
 
You said it well.

Back
Top Bottom