Viongozi wa juu wa ukawa kuwenu makini hizi ni dakika za lala salama

omemegrace

Member
Aug 23, 2015
67
28
TAHADHARI KWA VIONGOZI WA UKAWA
Sisi wapiga kura tusha amua kumpigia kura lowasa kazi ya kuisimamia tume na mawakala ni kazi ya viongozi wa juu,,,lkn pia viongozi wa juu wasipokaa makini ccm itatumia mbinu zote kuwachafua kwenye magazeti.
-Yani ss hv viongz wa ccm wanatumia ngv zoooote ili kila tv,kila radio,kila gazeti,kila social media ni magufuli ss viongozi wa ukawa hy ni kazi yenu kujitetea msituangushe maana kura zetu zipo nyngi

HUU NI MUDA WA MWISHO NI MOTO KWA MOTO HAKUNA KUSUBILI,MUDA HAUPO
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom