Viongozi wa Juu wa CHADEMA kuongea na Wanahabari Novemba 25, 2020 Makao Makuu ya Chama, Kinondoni

Yani hawana hata kiwanja tu, maskini!
Ndivyo walivyo....

Kwani hukumbuki UGOMVI wa CUF pale BUGURUN!?!!

Ile nyumba ilikuwa ni hisani ya marehemu Khamis Mloo....baadae CUF ikaja kuumbuka vibaya mnooo....🤣🤣

Haya njoo NCCR....mengi yamejificha pale....

TLP tusiitaje tafadhali🤣🤣
 
Kila siku watu wanaambiwa usitembee na mtu unafanya nae kazi nae kazi ofisi moja hawasikii Mbowe hawa wadada karibia wote kawabandua hawezi kufanya chochote.
 
Nchi hakuna maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, pesa za walipa kodi zinatumika kumpa mbowe kuwanunua wabunge wa kike badala ya maendeleo

Tuanze na wewe apo, umetumiaje rasilimali ya nchi yako kuwezesha watanzania wenzako? kama sio kusumbua watu jf kuna nn cha maaana umefanya?
 
Tayari nina popcorns zangu hapa nasubiria kesho saa tano asubuhi kwa episode mpya ya ufipa 😂...

CHADEMA wanaweza pia anzisha reality show watapata pesa nzuri maana wapo vizuri kwa maigizo.
Bonge la wazo. Nyumbu fikisheni wazo kwa Mwamba.
 
Pesa nyingi hutumika kupambana na hujuma kesi za kubambikiwa uonevu wa CCM mda mwingi hutumika kuokoa chama lakini endapo mbowe kachukua pesa kauza wabunge huko Bungeni ajue chadema ndiyo bye bye hakuna mwenye Akili timamu atasalia chadema
Leo hukuvuta bangi na konyagi?
 
Usione Aibu kusema hapo ndipo CCM hukoseshwa usingizi mpaka kuunda ushetani wa kuwabambikia kesi kuwapiga risasi kuubaka kuunajisi kuulawiti uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani na sasa hapo hapo pamewapa gharama kubwa kuwanunua wabunge wa kike kwa hofu ya wahisani wafadhili kuwawekea vikwazo, hiyo Ofisi ni ndogo lakini CCM wanaiogopa mpaka kuwafanyia kila aina za Visa,

Mkuu wewe kama mtoto.
 
Mngetulia kwanza mkajipanga, huku kukurupuka ili mradi kushindana na jamii ya mitandaoni ndo kutazidi kuwatoa relini. Jana mzee wa Miga katoa tamko bila kuwasiliana na CHADEMA kujua kinachojiri. Leo wanamama wameapishwa huku kiongozi wao akimtaja Mwenyekiti Mbowe. Kesho Makene au Mnyika atakurupuka kuongea, keshokutwa atakuja Mbowe kuwapongeza wanamama walioapishwa leo. Wanachama mtabaki kila mtu ananena kwa lugha yake.. Yote kwa yote mnaowaamini wanasiasa endeleeni, Ila hatutachoka kuwaambia sio Lissu,Mbowe, Mnyika wala nani wote wachumia matumbo tu.
mara watulie kwanza wajipange...mara wachumia tumbo. sasa tuchukue kipi. ukiwa unaandika pumba usiandike risala ndefu unatulia muda
 
Back
Top Bottom