Viongozi wa Juu wa CHADEMA kuongea na Wanahabari Novemba 25, 2020 Makao Makuu ya Chama, Kinondoni

Ni kweli nyumba sio maarifa kichwani, lakini kweli hapo ndio makao makuu ya chama kinachotafuta kishika dola? Chama chenye umri wa miaka 28 na nusu? Hapo ndio zinahifadhiwa nyaraka muhimu ZA Chama? Na ile ruzuku huwa mnaifanyia nini kama office ndio hiyo????

Umaridadi hujenga imani
Hatari kubwa!
 
Mngetulia kwanza mkajipanga, huku kukurupuka ili mradi kushindana na jamii ya mitandaoni ndo kutazidi kuwatoa relini.

Jana mzee wa Miga katoa tamko bila kuwasiliana na CHADEMA kujua kinachojiri.

Leo wanamama wameapishwa huku kiongozi wao akimtaja Mwenyekiti Mbowe. Kesho Makene au Mnyika atakurupuka kuongea, keshokutwa atakuja Mbowe kuwapongeza wanamama walioapishwa leo.

Wanachama mtabaki kila mtu ananena kwa lugha yake. Yote kwa yote mnaowaamini wanasiasa endeleeni, Ila hatutachoka kuwaambia sio Lissu, Mbowe, Mnyika wala nani wote wachumia matumbo tu.
 
Kesho Jumatano, Novemba 25, 2020, CHADEMA kupitia uongozi wa juu wa Chama, kitazungumza na Umma wa Watanzania kupitia waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari, katika mkutano utakaofanyika Ofisi za Makao Makuu ya Chama, kuanzia saa 5 asubuhi. Asanteni.

Wote Mnakaribishwa.
Vipi, wameahirisha?
 
Kesho Jumatano, Novemba 25, 2020, CHADEMA kupitia uongozi wa juu wa Chama, kitazungumza na Umma wa Watanzania kupitia waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari, katika mkutano utakaofanyika Ofisi za Makao Makuu ya Chama, kuanzia saa 5 asubuhi. Asanteni.

Wote Mnakaribishwa.
Zile mbwembwe zenu za zamani za kusema Mwenyekiti Mbowe ataongea na Taifa sasa kwishney.... Chali ,,,,,kwisha kabisa,,,,,,hoii bin taaban.
 
Back
Top Bottom