Viongozi Wa Hamas Gaza Wakimbilia Mafichoni Kuhofia Mashambulizi Ya Israel

Na yule Hasan Nasrallar kiongozi wa Hezbullar siku zote yupo handakini toka 2006.Ni kuhama mashimo toka hili kwenda hili!
 
Na yule Hasan Nasrallar kiongozi wa Hezbullar siku zote yupo handakini toka 2006.Ni kuhama mashimo toka hili kwenda hili!
Huyo Mzee alikuwa anaye kamanda wake muhimu akiitwa Imad Mughniyah ambaye aliwasumbua sana Mossad mpaka walipommaliza huko Syria mwaka 2008 ndo maana na yeye anaishi kwa kujificha kuhofia Maisha yake.
 
undefinedni kawaida viongozi wa Hamas fulltime wako mafichoni la sivyo israel angeshawamaliza,undefinedkwasasa tahadhari ni kubwa maana kuna vita itaanza Gaza,ndani ya masaa 48 yajayo
Mkuu sijapata muda wa kufuatilia kwa kina,nini hasa chanzo cha vita hiyo?
 
Write your reply...Source ni kijarida cha kizayuni cha timesforisrael hahahaha


mtoa mada kajambe mbele njoo na source ya kueleweka
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom