Viongozi wa dini wapewe semina kujilinda na unyanyasaji wa kijinsia wa watoto wadogo; | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viongozi wa dini wapewe semina kujilinda na unyanyasaji wa kijinsia wa watoto wadogo;

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Apr 23, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,448
  Likes Received: 5,700
  Trophy Points: 280
  Najua watakaokasirika kwa hili najua wameshazoea kwenye semina za Perdiem
  lakini kwa hali ilivyo yawezekana inaitajika kuwepo na semina kubwa kuelekeza
  jinsi gani ya kujilinda na madhara ya kunynyasa watoto kijinsia na kuelekezwa
  adhabu zake,,.yawezekana wanaofnya haya awajui madhara yake na madhara
  ya mtto wanaomfanyia ubaya huo..lakini ikiwezekana inaitajika itengenezwe
  filamu kabisa kusaidia kuwaelimisha wah wetu ambao nyuma yao lipo kundi la watu
  wakitarajia msaada mkubwa kutoka kwao kupitia roho mtakatifu
  Ni kweli atun ahja ya kulaumiana kwa lolote lililotokea ila ni vyema tukajaribu
  kuangalia tutaafanyaje yasitokee na kusahau yaliyopita???hapo ndipo tatizo
  lazima tujue watoto waliofanyiwa unyama wanakuwa na wanaelewa
  so atuna budi kuangalia nao tutawasaidiaje kuliko kutupia tu macho kwa waliohusika
  Tunaomba mamlaka husika kuusahau yaliopita na kushugulikia wahanga zaidi kuliko
  wahusika waliotenda ambao wengine wameshastaafu na kula penshen zao.....

  Tunaomba asasi zinazoshugulikana Dini Mkumbuke kuwapa semina wah hawa kuhusu
  madhara ya unyanyasaji wa watoto........,kabla ya kusubiri matukio na madhara yameshatokea
   
 2. M

  Magezi JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2010
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Hata Al Qaeda wanajidai wanadini na ni wacha mungu kweli kweli.
   
 3. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #3
  Apr 23, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Duu,hapo umechemsha Pdidy
   
 4. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #4
  Apr 23, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,588
  Likes Received: 3,887
  Trophy Points: 280
  Viongozi wa dini wapewe semina kujilinda na unyanyasaji wa kijinsia wa watoto wadogo.

  Well said Pdidy lakini unyanyasaji huu haufanywi na viongozi wa dini tu, wazazi wote wanaobatiza watoto wadogo wasiojua ili wala lile ni unyanyasaji na kulazimisha vitoto kushinda madrasa ni unyanyasaji pia.

  habari ndiyo hiyo...
   
 5. Tatu

  Tatu JF-Expert Member

  #5
  Apr 24, 2010
  Joined: Oct 6, 2006
  Messages: 1,081
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Huko maofisini mbona umekusahau ndugu yangu? Ngono viongozi wanayoendeleza huko maofisini mbona ni ya kutisha zaidi ya sehemu yeyote ile katika jamii inayotaka haki na utu wa kila mtu ilindwe?
   
Loading...