Elections 2010 Viongozi wa Dini Waikemee serikali, ccm na NEC - Wamwache Dk Slaa atuamshe watanzania

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,928
3,225
Nawashangaa sana viongozi !! Maaskofu na Masheikh...

Wanataka amani gani wakati rasilimali za watanzania zinaibwa kweupe?

Kwani nini hawa viongozi wa dini hawakemei maovu ya serikali??

Kwanza Tanzania hakuna amani, kuna utulivu.

Amani gani mtoto amerudishwa ada shule, mlo mmoja, nyumba za tembe/

Vibaka, wezi,machangudoa na malaya wameongezeka.

Jamani tuwaambia hawa viongozi wa dini
 
Wanafiki sana viongozi wa dini wa Tanzania, mi wananikera sana kwa kweli, wengi wanajikomba CCM. Sijui watajibu nini kwa Mola!
 
Nawashangaa sana viongozi !! Maaskofu na Masheikh...

Wanataka amani gani wakati rasilimali za watanzania zinaibwa kweupe?

Kwani nini hawa viongozi wa dini hawakemei maovu ya serikali??

Kwanza Tanzania hakuna amani, kuna utulivu.

Amani gani mtoto amerudishwa ada shule, mlo mmoja, nyumba za tembe/

Vibaka, wezi,machangudoa na malaya wameongezeka.

Jamani tuwaambia hawa viongozi wa dini

Jamani CCM ni mfumo. Tena mfumo hasa. Ili kuumaliza mfumo wowote, lazima uufumue. Kazi kweli kweli.

Wanaojiita Maaskofu musifikiri ni Maaskofu kweli.

Wengine ni Maustadh walishapandikizwa kuwa Maaskofu miaka mingi tangu wakiwa wadogo. Lengo moja tu. Kuua Ukristu. We know this.

Ulishawahi kusikia kesi za ulawiti katika dini ya Uyahudi?

Hakuna.

Leo tuna mapadri feki (waislamu) walio vaa ngozi za ukasisi, wanalawiti watoto. Tunaambiwa "Padri kabaka mtoto". Wizi mtupu!
 
Hata mimi nawashangaa viongozi wa dini kumfuata Dr. na kumwacha Kikwete na sisiemu ambao kwa makusidi kabisa wameamua kutumia nguvu zote kubaki madarakani.
 
Jamani CCM ni mfumo. Tena mfumo hasa. Ili kuumaliza mfumo wowote, lazima uufumue. Kazi kweli kweli.

Wanaojiita Maaskofu musifikiri ni Maaskofu kweli.

Wengine ni Maustadh walishapandikizwa kuwa Maaskofu miaka mingi tangu wakiwa wadogo. Lengo moja tu. Kuua Ukristu. We know this.

Ulishawahi kusikia kesi za ulawiti katika dini ya Uyahudi?

Hakuna.

Leo tuna mapadri feki (waislamu) walio vaa ngozi za ukasisi, wanalawiti watoto. Tunaambiwa "Padri kabaka mtoto". Wizi mtupu!

Usilete chuki za kidini humu.
Mtoa mada amezungumza viongozi wa dini akimaanisha viongozi wa dini zote. Sasa wewe unatoka nje ya mada kabisa na kuleta habari za mapadri kulawiti, imekujaje! Kama huna la kuongea kaa kimya usilete chuki za kidini humu.
 
Back
Top Bottom