ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,070
Wangeshinda CHADEMA hao viongozi wasingepata laana?
Kwani hujamsikia mwamakula na yule kwa huko ngara?Amani ya bwana iwe kwenuu wandugu!
Nimesikitishwa sana na viongozi wa madhehebu mbali mbali nchini kukaa kimya bila kutamka chochote juu ya hali ya uchaguzi ilivyo mpaka sasa.
Viongozi hawa hawakuona kura bandia zilizokamatwa, viongozi hawa hawakuona mawakala wa vyama mbali mbali walivyozuiwa kuingia kwenye vituo vya kupigia kura, viongozi wa dini Tanzania hawakuskia kuhusu vifo vya watu violitokea huko Zanzibar na huku bara, Viongozi hawa wa dini hawaoni wala hawasikii jinsi viongozi wa upinzani wanavyokamatwa na vyombo vya dola.
Ninyi TEC, BAKWATA, Shura ya Maimamu, Baraza la Maulamaa na taasisi ziingine za kidini mkiukalia kimya ukweli huu mkajifanya hamuoni,Laana ya Mwenyezi Mungu haitawaacha hakika. Nafsi zenu ziwasute kwa kujifanya hamuoni ukweli huu. Mkumbuke kila mahali mnapkanyaga Malaika wa bwana wanawatazameni. Huifanya kazi yenu kama mnavyoutangazia umma wa Watanzania na dunia kua ninyi ni watumishi wa Mungu. Huu ni kama uongo makatibu makosa yenu.
Ninafedheheshwa sana na ukimya wenu. Hivi kama Yesu angekaa kimya kwa kumuogopa Herode damu yake ingemwagika kwa ajili ya wanakondoo? Daudi angeogopa nguvu ya Goliathi angeweza kufanya chochote? Musa angemuogopa Faraoh Leo hii wana wa Israel wangekuwa na taifa lao teule? Endeleeni kufanya biashara zenu kusaka fursa ila mkono wa Mungu na fimbo yake hamtavikwepa kamwe.
Viongozi hao ni pamoja na Mh Mbunge wa Kawe......😂😂😂 unategemea nini...Songombingo lote lililotokea Kawe anaona ni sawa na anajiita mtumishi wa Mungu na ni Mbunge mteule...inakatisha tamaa na hii imesababisha hadi kufikiria sana kama kweli haya makanisa yako kwa ajili ya Mungu wa mbinguni au ni biashara tu za eatu.Amani ya bwana iwe kwenu wandugu!
Nimesikitishwa sana na viongozi wa madhehebu mbali mbali nchini kukaa kimya bila kutamka chochote juu ya hali ya uchaguzi ilivyo mpaka sasa.
Viongozi hawa hawakuona kura bandia zilizokamatwa, viongozi hawa hawakuona mawakala wa vyama mbali mbali walivyozuiwa kuingia kwenye vituo vya kupigia kura, viongozi wa Dini Tanzania hawakuskia kuhusu vifo vya watu violitokea huko Zanzibar na huku bara, Viongozi hawa wa dini hawaoni wala hawasikii jinsi viongozi wa upinzani wanavyokamatwa na vyombo vya dola.
Ninyi TEC, BAKWATA, Shura ya Maimamu, Baraza la Maulamaa na taasisi nyingine za kidini mkiukalia kimya ukweli huu mkajifanya hamuoni,Laana ya Mwenyezi Mungu haitawaacha hakika. Nafsi zenu ziwasute kwa kujifanya hamuoni ukweli huu. Mkumbuke kila mahali mnapakanyaga Malaika wa bwana wanawatazama. Huifanya kazi yenu kama mnavyoutangazia umma wa Watanzania na Dunia kua ninyi ni watumishi wa Mungu. Huu kama ni uongo mkatubu makosa yenu.
Ninafedheheshwa sana na ukimya wenu. Hivi kama Yesu angekaa kimya kwa kumuogopa Herode damu yake ingemwagika kwa ajili ya wanakondoo? Daudi angeogopa nguvu ya Goliathi angeweza kufanya chochote? Musa angemuogopa Faraoh Leo hii wana wa Israel wangekuwa na taifa lao teule? Endeleeni kufanya biashara zenu kusaka fursa ila mkono wa Mungu na fimbo yake hamtavikwepa kamwe.
"Wapinzani walidai kukamata makasha ya kura bandia kwenye gari. Cha kushangaza wapinzani hao badala ya kuzikabidhi kwa Mamlaka za kisheria kama ushahidi na kidhibiti, wakazichoma moto na mtuhumiwa walitemkamata walimwachia atokomee gizani. Toka lini ushahidi muhimu kama huo wauteketeze? Hiyo inadhihirisha kuwa ni wenyewe waliochapisha kura hizo bandia, na ni wenyewe waliozileta eneo hilo, na baadye kuzichoma moto ili kuficha ushahidi, wakijua kama wangezikabidhi kwenye mamlaka za kisheria uchunguzi wa kina ungewaumbua".Yaani umeziba kwa nta masikio kiasi cha kutosikia matamko mbalimbali ya viongozi wa dini waadilifu uchaguzi mkuu wa mwaka huu?
Au ulitaka matamko yao yalandane na matakwa yako, maoni yako au yenye kuunga mkono chama na wagombea wako unaowaunga mkono, ndiyo ukubali kuwa yametolewa?. Kama ungekuwa na masikio yanayosikia hata kauli zinazokinzana na mapenzi na matakwa yako binafsi, usingepost hayo!
Kumbuka tangu kuanza kwa siasa vya vyama vingi nchini, wapinzania wamekuwa wakishindwa katika chaguzi mbalimbali, na walikua wakikataa kuyatambua matokeo ya chaguzi hizo yaliyokuwa yanatangazwa na Tume za Uchaguzi kwa vioja vya kuibiwa kura, chaguzi kutokuwa huru na za haki ama visingizio vingine kama kukataliwa kwa mawakala wao kusimamia chaguzi... daima mapambio ni visingizio ni vile vile miaka yote ya uchaguzi!
Mpya zaidi ya mwaka mwaka huu ni pale walipodai kukamata gari lenye makasha ya karatasi za kupigia kura kule Kawe!
Nikimnukuu Msemaji wa CCM Hamphrey Polepole alipozungumzia kuhusu kioja hicho, alisema: "Wapinzani walidai kukamata makasha ya kura bandia kwenye gari. Cha kushangaza wapinzani hao badala ya kuzikabidhi kwa Mamlaka za kisheria kama ushahidi na kidhibiti, wakazichoma moto na mtuhumiwa walitemkamata walimwachia atokomee gizani. Toka lini ushahidi muhimu kama huo wauteketeze? Hiyo inadhihirisha kuwa ni wenyewe waliochapisha kura hizo bandia, na ni wenyewe waliozileta eneo hilo, na baadye kuzichoma moto ili kuficha ushahidi, wakijua kama wangezikabidhi kwenye mamlaka za kisheria uchunguzi wa kina ungewaumbua". UCHAGUZI UMESHAPITA TUACHE MAISHA MENGINE YAENDELEE!
Viongozi wa dini unaosema ndio walio omba corona ikatoweka lakini wale wa kwenu wanaopanda kwenye majukwaa wanapinga hata maombi wameshindwa vibaya na kuonekana hawana imani ya kutosha.Amani ya bwana iwe kwenu wandugu!
Nimesikitishwa sana na viongozi wa madhehebu mbali mbali nchini kukaa kimya bila kutamka chochote juu ya hali ya uchaguzi ilivyo mpaka sasa.
Viongozi hawa hawakuona kura bandia zilizokamatwa, viongozi hawa hawakuona mawakala wa vyama mbali mbali walivyozuiwa kuingia kwenye vituo vya kupigia kura, viongozi wa Dini Tanzania hawakuskia kuhusu vifo vya watu violitokea huko Zanzibar na huku bara, Viongozi hawa wa dini hawaoni wala hawasikii jinsi viongozi wa upinzani wanavyokamatwa na vyombo vya dola.
Ninyi TEC, BAKWATA, Shura ya Maimamu, Baraza la Maulamaa na taasisi nyingine za kidini mkiukalia kimya ukweli huu mkajifanya hamuoni,Laana ya Mwenyezi Mungu haitawaacha hakika. Nafsi zenu ziwasute kwa kujifanya hamuoni ukweli huu. Mkumbuke kila mahali mnapakanyaga Malaika wa bwana wanawatazama. Huifanya kazi yenu kama mnavyoutangazia umma wa Watanzania na Dunia kua ninyi ni watumishi wa Mungu. Huu kama ni uongo mkatubu makosa yenu.
Ninafedheheshwa sana na ukimya wenu. Hivi kama Yesu angekaa kimya kwa kumuogopa Herode damu yake ingemwagika kwa ajili ya wanakondoo? Daudi angeogopa nguvu ya Goliathi angeweza kufanya chochote? Musa angemuogopa Faraoh Leo hii wana wa Israel wangekuwa na taifa lao teule? Endeleeni kufanya biashara zenu kusaka fursa ila mkono wa Mungu na fimbo yake hamtavikwepa kamwe.
Wachawi ni bagonza, mwamakula, katimba, na ponda. Na munga, hao ndo watumishi wasiokuwa na utimilifu wa imani,Exactly Tanzania hatuna viongozi wa dini tuna wachawi tu na wanafiki walamba viatu vya wanasiasa wauaji ,watekaji ,wafungaji , waonezi, dhulumati , mafisadi , majiziView attachment 1619197
Chukua taadhari endelea kuwaamini wanasiasaVi
Viongozi wa dini unaosema ndio walio omba corona ikatoweka lakini wale wa kwenu wanaopanda kwenye majukwaa wanapinga hata maombi wameshindwa vibaya na kuonekana hawana imani ya kutosha.
Umemaliza yoteAmani ya bwana iwe kwenu wandugu!
Nimesikitishwa sana na viongozi wa madhehebu mbali mbali nchini kukaa kimya bila kutamka chochote juu ya hali ya uchaguzi ilivyo mpaka sasa.
Viongozi hawa hawakuona kura bandia zilizokamatwa, viongozi hawa hawakuona mawakala wa vyama mbali mbali walivyozuiwa kuingia kwenye vituo vya kupigia kura, viongozi wa Dini Tanzania hawakuskia kuhusu vifo vya watu violitokea huko Zanzibar na huku bara, Viongozi hawa wa dini hawaoni wala hawasikii jinsi viongozi wa upinzani wanavyokamatwa na vyombo vya dola.
Ninyi TEC, BAKWATA, Shura ya Maimamu, Baraza la Maulamaa na taasisi nyingine za kidini mkiukalia kimya ukweli huu mkajifanya hamuoni,Laana ya Mwenyezi Mungu haitawaacha hakika. Nafsi zenu ziwasute kwa kujifanya hamuoni ukweli huu. Mkumbuke kila mahali mnapakanyaga Malaika wa bwana wanawatazama. Huifanya kazi yenu kama mnavyoutangazia umma wa Watanzania na Dunia kua ninyi ni watumishi wa Mungu. Huu kama ni uongo mkatubu makosa yenu.
Ninafedheheshwa sana na ukimya wenu. Hivi kama Yesu angekaa kimya kwa kumuogopa Herode damu yake ingemwagika kwa ajili ya wanakondoo? Daudi angeogopa nguvu ya Goliathi angeweza kufanya chochote? Musa angemuogopa Faraoh Leo hii wana wa Israel wangekuwa na taifa lao teule? Endeleeni kufanya biashara zenu kusaka fursa ila mkono wa Mungu na fimbo yake hamtavikwepa kamwe.
Hawa si sehemu ya wanafikiWacahw
Wachawi ni bagonza, mwamakula, katimba, na ponda. Na munga, hao ndo watumishi wasiokuwa na utimilifu wa imani,
Hao ni sawa na wahuni tu wa kitaa na wenye njaa zao na wasiopend kufanya kazi ila wanataka kushiba.
Mungu hapendi hayo.