Naunga mkono hojaMimi huwa nashangaa sana
Mtu kama
1. waziri mkuu,
2. makamu wa rais,
3. rais
Wanamajukwaa mengi sana nje ya nyumba za ibada kwanini wanapenda kupanda kwenye miambali ya makanisa na misikiti?
Majukwaa Yao ni haya
1. TBC taifa (radio na television)
2. Waandishi wa habari... mikutano
3. Bunge
4. Mkutano ya kisiasa
5. Wawapo ziarani
Kwanini hawaridhiki namajukwa yao?
Naunga mkono hojaNi kweli, wanasiasa wana platform zao. Wasitumie madhabahu wala misikiti.
Naunga mkono hojaNapoleone
siku akipatikana rais mpagani msije mkaja hapa kulialia.
shida ya binadamu umimi umetujaa mpaka mbele hatutaki ona.
utawala mbovu wa mwendazake tuliupigia kelele ila kuna watu sababu ya ukabila,udini na mikate waliyokuwa wanapata kwakwe wakamute.
ila kilichotokea tumekiona.
sababu ya utendaji wake mbovu karibu mapadre na masista 50+ wakafariki kizembe.
nalo hili tutaona tu!
kkkt,rc,bakwata na wengineo nyie kimbizaneni kupata sifa hewa za kusalisha na kuwazika hao viongozi wa kiserikali kimashindano na mbwembwe matunda si muda mrefu tutayavuna.
Majaliwa yeye ni dini gani na je yeye ni kiongozi wa dini.
Serikali ya Tz haina dini.Napoleone
Siku akipatikana Rais mpagani msije mkaja hapa kulialia.
Shida ya binadamu umimi umetujaa mpaka mbele hatutaki ona.
Utawala mbovu wa mwendazake tuliupigia kelele ila kuna watu sababu ya ukabila,udini na mikate waliyokuwa wanapata kwakwe wakamute ila kilichotokea tumekiona.
Sababu ya utendaji wake mbovu karibu mapadre na masista 50+ wakafariki kizembe nalo hili tutaona tu!
KKKT, RC, Bakwata na wengineo nyie kimbizaneni kupata sifa hewa za kusalisha na kuwazika hao viongozi wa kiserikali kimashindano na mbwembwe matunda si muda mrefu tutayavuna.