Viongozi wa dini na wale vingozi wastaafu wanamaanisha nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viongozi wa dini na wale vingozi wastaafu wanamaanisha nini?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Ndallo, Oct 19, 2010.

 1. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2010
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Nimejaribu kufuatilia kwa undani kwa viongozi wastaafu na viongozi wale wa dini wakiwaamasisha wananchi kutochagua chama bali tuchague kiongozi mwenye sifa safi kama vile tusichague Mafisadi na wale wapenda rushwa! Tunaambiwa tuchague kiongozi atakayeletea wananchi wake maendeleo sasa hapa nataka kujua kiongozi huyo ambaye wanayemtaka achaguliwe ni nani kati ya hawa wagombea wetu! Ni nani msafi hapa anayetakiwa? Lakini naona watanzania wameshamjua wanayemtaka hata nikirejea maneno ya akiongozi mstaafu aliyewahi kuwa waziri mkuu kwenye utawala wa baba wa taifa anavuta Fegi kwa sana sijui yuko wapi tokea kampeni zianze! Nanukuu kauli yake kwa Serikali ya awamu ya nne alisema - WATANZANIA NI WATU WAPOLE SANA LAKINI MSIWAZARAU! IKO SIKU ITAFIKA WATASEMA BASII!! TUMEAMUA!! mwisho wa kunumnukuu, na kweli wakati ndio huu! natumaini watanzania wanamjua nani SAFI na nani Fisadi! wanajanvi hembu angalieni hii hoja kazi kwako hiyo Tarehe 31 Oct!!!
   
 2. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  kiongozi mwadilifu ni JK, anapiga vita ufisadi kwa nguvu zote si kesi zipo mahakamani subiri majibu!
   
 3. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2010
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Kesi gani tena na ameshasema wale mafisadi walisingiziwa? kweli ni kiongozi muadilifu aliyeamua kutengua kesi iloko mahakamani na kusema wale washtakiwa walisingiziwa!! asante sana Henge jibu lako safi sana!
   
 4. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hey friend,i respect your views ila inachosha na kusoma kwa jinsi ulivo i panga hapo juu,but thanx
   
Loading...