VAPS
JF-Expert Member
- Jul 10, 2012
- 5,610
- 13,160
Wazee na viongozi wa dini Wana fursa kubwa kutoa ushauri.Tunajua fika wazee na viongozi wa dini wengi wa taifa hili ni waoga na wanafiki. Niwasihi Wenye ujasiri wachache wasisite kusemea ukweli kwa afya na amani ya taifa letu.
Asubuhi ya leo ibaada za Jumapili zinafanyika kwa ndugu zetu Madhehebu ya Kikristu.Taifa Lina Mambo makubwa 2
Chanjo korona elimu sahihi inahitajika na kuwapa moyo na Imani Watanzania kuzingatia ushauri wa Wataalamu wa afya.
Pili ni suala la kuitaka serikali kufuta mashitaka ya kubambika ya ugaidi kwa kiongozi wa chama kikuu na kikubwa Cha upinzani Freeman Mbowe, ni aibu na fedheha kwa umoja na ustawi wa taifa letu.
Niwatakie Jumapili njema yenye baraka.