CHANZO
Senior Member
- Mar 1, 2014
- 151
- 47
kuna kitu kinaitwa specialization.
ndo maana kuna polisi, jwtz, usalama wa taifa, takukuru, uhamiaji , askari wanyama pori na kitengo cha kuzuia na kupambana na ugaidi.
Na jkt haikuundwa ili kupambana na ugaidi, tuna askari wa kutosha wa ardhini tanzania. tuna ongoza afrika mashariki. jkt haina faida ya kiuchumi. waliotoka bado sio wazalendo na jkt ndo makao makuu ya mmomonyoko wa maadili kuna matusi ambayo huwezi kuyataja hapa.
tanziania can not aford this luxuary.
nchi maskini inatumia kodi kwa vitu visivyokua na maana kbs. jkt ni wastage of money and national resources, bora wangekua wanazalisha chakula hata cha kujilisha wenyewe tu. kutwa kuruka vichura na kutukanana tu.
Taifa lazima liwe na watu Imara na wakakamavu,j wavumilivu kwa kila hali hasa vijina...hii ndio rasilimali muhimu zaidi.....