Viongozi wa Dini ishurutisheni Serikali ijisafishe suala la Lissu kama inasingiziwa

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,405
30,908
Viongozi wa dini mpaka sasa ishu ya Lissu vs Serikali mmeikalia kimya huku kila upande ukijihisi una haki.

Mpaka Sasa Lissu ni mshindi kwasababu hana kosa lililompasa kuuwawa katika mazingira Yale. Na Wala hana kosa lolote lililomstahili kifo.

Binafsi sijamsikia igp siro akisema lolote ila Kama serikali inataka kumkamata lisu akija nchini basi iseme wazi kosa lake ni lipi na kama kosa wanalomkamatia ndio Hilo lilimstahili kifo maana mpaka sasa ishu ya lisu sio ya kitaifa ni ya dunia nzima.

Lolote lisu atakalofanyiwa litaandikwa katika historia ya Tanzania.

Kifupi serikali ya awamu ya tano imejitengenezea zimwi lake liitwalo Tundu Lissu .

Viongozi wa dini kama mpo Tanzania liangalieni suala la Lissu unbiased.
 
CCM wanasema kosa lake ni usaliti ndo maana wakataka kumuuwa, ndo maana Siro hawezi fanya lolote kwasababu nao ni Policcm.
 
1592949140539.png
 
CCM wanasema kosa lake ni usaliti ndo maana wakataka kumuuwa, ndo maana Siro hawezi fanya lolote kwasababu nao ni Policcm.
Amemsaliti nani ? Taifa? Kwa lipi? Mbona ishu yake iko wazi sana ? Je ni mikataba? Kama ndivyo kwanini mikataba waliweka Siri? Lissu haikumpasa kufa kabisa Lissu alipaswa kuhojiwa kama ni mkosefu agaisnt our mother land Lissu haikumpasa kuuwawa. Viongozi wa dini kabla hawajamuombea Magufuli na kumuita nabii wanapaswa kumhoji kwanza kuhusu lisu na Beni.
 
Viongozi wa dini mpaka sasa ishu ya Lissu vs Serikali mmeikalia kimya huku kila upande ukijihisi una haki.

Mpaka Sasa Lissu ni mshindi kwasababu hana kosa lililompasa kuuwawa katika mazingira Yale. Na Wala hana kosa lolote lililomstahili kifo.

Binafsi sijamsikia igp siro akisema lolote ila Kama serikali inataka kumkamata lisu akija nchini basi iseme wazi kosa lake ni lipi na kama kosa wanalomkamatia ndio Hilo lilimstahili kifo maana mpaka sasa ishu ya lisu sio ya kitaifa ni ya dunia nzima.

Lolote lisu atakalofanyiwa litaandikwa katika historia ya Tanzania.

Kifupi serikali ya awamu ya tano imejitengenezea zimwi lake liitwalo Tundu Lissu .

Viongozi wa dini kama mpo Tanzania liangalieni suala la Lissu unbiased.
Vingozi wa dini ni wachache hapa wengine ni wajasiria mali tu. Viongozi wa dini ni Shehe Ponda, Askofu E. Bandekile, Bagonza na Askofu Shoo. Wengine ni waganga njaa.
 
Jamaa mbali na kufunga, kupoteza na kupiga risasi bado hana popularity, unaenda Ubungo kutafuta uungwaji mkono! ccm kumwanya.

thibitisha ni yeye anahusika! we unadhan wananchi machizi, ona sasa imegundulika ni nyie mnachoma ofisi zenu wenyewe daaah mna siasa mbaya kichz
 
Amemsaliti nani ? Taifa? Kwa lipi? Mbona ishu yake iko wazi sana ? Je ni mikataba? Kama ndivyo kwanini mikataba waliweka Siri? Lissu haikumpasa kufa kabisa Lissu alipaswa kuhojiwa kama ni mkosefu agaisnt our mother land Lissu haikumpasa kuuwawa. Viongozi wa dini kabla hawajamuombea Magufuli na kumuita nabii wanapaswa kumhoji kwanza kuhusu lisu na Beni.
Hata hao viongozi wa dini tatizo lao ni njaa na usaliti
 
Viongozi wa dini mpaka sasa ishu ya Lissu vs Serikali mmeikalia kimya huku kila upande ukijihisi una haki.

Mpaka Sasa Lissu ni mshindi kwasababu hana kosa lililompasa kuuwawa katika mazingira Yale. Na Wala hana kosa lolote lililomstahili kifo.

Binafsi sijamsikia igp siro akisema lolote ila Kama serikali inataka kumkamata lisu akija nchini basi iseme wazi kosa lake ni lipi na kama kosa wanalomkamatia ndio Hilo lilimstahili kifo maana mpaka sasa ishu ya lisu sio ya kitaifa ni ya dunia nzima.

Lolote lisu atakalofanyiwa litaandikwa katika historia ya Tanzania.

Kifupi serikali ya awamu ya tano imejitengenezea zimwi lake liitwalo Tundu Lissu .

Viongozi wa dini kama mpo Tanzania liangalieni suala la Lissu unbiased.
Hawa akina Gwajima nao wana siasa tu hawana lolote wanatunza ugali wao usimwagike.
 
Hata mwanangu wa darasa la kwanza anajua wazi kuwa wauwaji wa Lissu ni:-
1. Waliomfutia ubunge wakisema ametoroka
2. Waliopanga uchaguzi na kumuondolea pesa ya matibabu
3. Waliomfungulia kesi wakisema ni msaliti sijui alisaliti nini wakati sio kiongozi wa serikali
4. Waliosema maendeleo yatapelekwa jimboni kwake hao ndio wauwaji wa Lissu
5. Waliokataa kuwatafuta wauwaji na kusema wanahitaji arudi ndipo awape ushahi
6. Wanaotaka kumwekea pingamizi asigombee uraisi
7. Wanao umia kwa Lissu kupona ndio waliotaka kumuua
 
thibitisha ni yeye anahusika! we unadhan wananchi machizi, ona sasa imegundulika ni nyie mnachoma ofisi zenu wenyewe daaah mna siasa mbaya kichz
Kwanza huwezi ukanitisha. Ni yeye. Kwanini hajawahi kutoa tamko hata kujutia tu matendo machafu. Kingine wote walioonyesha hofu kwa maovu yanayofanyika amewatoa kugombea ubunge. Mfano ni Adadi Rajab, Dr. Peter Kafumu, jamaa anaroho mbaya.

Naandika hivi nina uhakika hamuwezi kunifanya kitu. Mmeanza kupambana na msiowajua. ccm mnajifanya kilakitu nyie, sasa subiri moto uwake mtashangaa makambi yote yanawalinda wananchi na huyo mungu wa lugola atakuwa Kambini amehifadhiwa.
 
Kwan nan anakuogopa , we jiandae kuumia moyo tu maaana magufuli is here to stay , mwanzon tulifanya bahati mbaya kumkosaa saaahv amekua kilema saaahv jua makosa hayatajirudia tena na huo mdomo tutaunyoosha
 
Hujitambui, boya wewe
 
Back
Top Bottom