Viongozi wa CHADEMA wilaya ya Magu, Mwanza wabwaga manyanga na kuhamia CCM

hugochavez

JF-Expert Member
Mar 1, 2013
1,907
1,009
Viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) wilaya ya Magu mkoani mwanza wakiongozwa na Dominique Bubeshi aliyekuwa mjumbe wa kamati tendaji chama hicho wilaya wamekihama chama hicho na kuhamia chama cha mapinduzi mchana wa leo kwa kile walichodai kuwa chama hicho kimepoteza agenda.

Wengine waliokihama chama hicho ni pamoja na Monica maghembe aliyekuwa katibu wa Bawacha kata ya Itumbili,Manyami Kagwebe aliyekuwa mjumbe wa mkutano mkuu wa chama hicho wilaya. Toroka uje CCM
 
Kumbe ni viongozi wa matawi! Mi nikajua Mbowe na Mashinji bhana!
 
Viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) wilaya ya Magu mkoani mwanza wakiongozwa na Dominique Bubeshi aliyekuwa mjumbe wa kamati tendaji chama hicho wilaya wamekihama chama hicho na kuhamia chama cha mapinduzi mchana wa leo kwa kile walichodai kuwa chama hicho kimepoteza agenda.

Wengine waliokihama chama hicho ni pamoja na Monica maghembe aliyekuwa katibu wa Bawacha kata ya Itumbili,Manyami Kagwebe aliyekuwa mjumbe wa mkutano mkuu wa chama hicho wilaya. Toroka uje CCM
51355828b1737e2bd8a3714e364e5e85.jpg
 
Wamem pyu pyu pyuu lissu kaja kakobe hahahaaaa sasa naona mawe yameanza kuongea
 
Viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) wilaya ya Magu mkoani mwanza wakiongozwa na Dominique Bubeshi aliyekuwa mjumbe wa kamati tendaji chama hicho wilaya wamekihama chama hicho na kuhamia chama cha mapinduzi mchana wa leo kwa kile walichodai kuwa chama hicho kimepoteza agenda.

Wengine waliokihama chama hicho ni pamoja na Monica maghembe aliyekuwa katibu wa Bawacha kata ya Itumbili,Manyami Kagwebe aliyekuwa mjumbe wa mkutano mkuu wa chama hicho wilaya. Toroka uje CCM
:D hizi sababu za kuhama huwa zinaniacha hoi! Tabaka la watu wenye kutaka uongozi Tanzania halina watu timamu hata kidogo.

Kama hawa ndo tabaka la watu tunaotoa viongozi kwasababu wako kwenye vyama vya kisiasa, basi safari tunayo ndefu sana.

Tatizo ni kwamba, kutokana na mfumo wetu, watu smart ambao wanaingia kwenye politics ni wachache sana.

Miaka yote tumeambulia magalasa tu kwa kiasi kikubwa.
 
Viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) wilaya ya Magu mkoani mwanza wakiongozwa na Dominique Bubeshi aliyekuwa mjumbe wa kamati tendaji chama hicho wilaya wamekihama chama hicho na kuhamia chama cha mapinduzi mchana wa leo kwa kile walichodai kuwa chama hicho kimepoteza agenda.

Wengine waliokihama chama hicho ni pamoja na Monica maghembe aliyekuwa katibu wa Bawacha kata ya Itumbili,Manyami Kagwebe aliyekuwa mjumbe wa mkutano mkuu wa chama hicho wilaya. Toroka uje CCM
Magu haiko Mkoa wa Mwanza kwa sasa, ilishamegwa kutoka Mwanza na kupelekwa Mkoa mpya wa Simiyu
 
Jamani na sisi wengine wadau wa humu.. mnaonaje tujiunge na CCM au tuwapigie tu kura siku zikifika kama kawa.. tukianzia na Raisi wetu mpendwa?
 
weka source of information yako au na wewe ni mmoja wapo
teehh teehhh wazee wa kubadili upepo kila kunapo ibuka jambo
 
Back
Top Bottom