Viongozi wa CHADEMA wavamiwa hotelini na Green guard wa CCM-Igunga

Nanyaro Ephata

JF-Expert Member
Jan 22, 2011
1,221
1,788
Wale vijana wa ccm waliopata mafunzo haramu mkoani singida,wakiwa na VX mbili za Ccm wamevamia hotel walipo makamanda wa Chadema.Uvamizi uliokuwa na lengo la kuwajeruhi makamanda na pia kuchoma moto fuso mbili za matangazo(PA)
Jaribio hili ovu limeshindwa vibaya,kwani vijana wetu waliwakamata na kuwadhibiti kisha kuwapeleka polisi,kwa sasa tupo kituoni,ntaendelea kuwajuza
 
green gard km jina lao huongozwa na bangi...
mungu awazidishie nguvu muweze kuongoka maana tumeona wanaonyesha silaha zo live live na hakuna chombo cha dola kinasema lolote ....
 
Wale vijana wa ccm waliopata mafunzo haramu mkoani singida,wakiwa na VX mbili za Ccm wamevamia hotel walipo makamanda wa Chadema.Uvamizi uliokuwa na lengo la kuwajeruhi makamanda na pia kuchoma moto fuso mbili za matangazo(PA)
Jaribio hili ovu limeshindwa vibaya,kwani vijana wetu waliwakamata na kuwadhibiti kisha kuwapeleka polisi,kwa sasa tupo kituoni,ntaendelea kuwajuza

Mungu yuko upande wenu ameshawatia mikononi mwenu ccm ndiyo sababu kila wanapojaribu kufanya hila mbaya dhidi yenu wanaishia kuaibika.

Kazi nzuri sana kwa vijana wa chadema kwa kutekeleza wajibu wao kwa uhakika na umakini wa hali ya juu sana.
 
Mungu awatangulie kwa kila hatua. Adui watakuinukia kwa njia moja nao watatawanyika mbele yako kwa njia saba. Akisema NDIYO Bwana hakuna mwanadam awezaye kupinga.
 
Tunashukuru kwa taarifa mh DIwani,kwa nn msingehakikisha mnamtoa mmoja damu kwanza kabla ya kuwapeleka polisi?
 
Tunashukuru kwa taarifa mh DIwani,kwa nn msingehakikisha mnamtoa mmoja damu kwanza kabla ya kuwapeleka polisi?

Kwayu. mi nadhani inatosha sana walivyo wakamata na kuwapeleka polisi, hii na aibu kubwa kwa walio watuma.
 
Haya. Tunawasubiri polisi wawasafishe kuwa ni mambo binafsi. Hivi na wale waliokamatwa wanashusha bendere za cdm issue yao vipi?
 
Hayo yanadhihirisha ni kwa kiasi gani chama chetu pendwa cha CDM kilivyojizatiti katika idara ya usalama na hii ni alama mojawapo kuonyesha kwamba tutakapoichukua nchi usalama wa nchi yetu utakuwa imara kulinda rasilimali zetu zinazotoshwa kila leo.Bravo makamanda,siwafagilii magamba...
 
Very good CCM. Endeleeni hivyo hivyo, kwani si ndiyo sera yenu? sasa kuna ubaya gani mu anatekeleza sera yake, na alishapeleka vijana kambini Singida. Mnataka hao vijana wawe jobles? kazi ndo hiyo na wametumwa
 
Haya. Tunawasubiri polisi wawasafishe kuwa ni mambo binafsi. Hivi na wale waliokamatwa wanashusha bendere za cdm issue yao vipi?
kama walivomsafisha balozi mnunua shahada eti hakuna kifungu cha ku msue. Na tume nayo ikakaa kimyaaa. Kumbukeni tunazo taarifa jinsi ccm ilivo mwelekeza cha kufanya/kusema
 
Wale vijana wa ccm waliopata mafunzo haramu mkoani singida,wakiwa na VX mbili za Ccm wamevamia hotel walipo makamanda wa Chadema.Uvamizi uliokuwa na lengo la kuwajeruhi makamanda na pia kuchoma moto fuso mbili za matangazo(PA)
Jaribio hili ovu limeshindwa vibaya,kwani vijana wetu waliwakamata na kuwadhibiti kisha kuwapeleka polisi,kwa sasa tupo kituoni,ntaendelea kuwajuza

wako wangapi mkuu, tupe hali halisi baada na wakati wa kuwadhibiti, reaction ya polisi ikoje. yote kwa yote tunamshukuru mungu kwa kuwatia adui mikononi mwetu. zab.23
 
Ebwana mkuu asante kwa taarifa, tunajua watatolewa soon!!! Nimeipenda mlivoweza kuwadhibiti hii tamu sana, kama vip vijana wote tutahamia Igunga kuhakikisha haki inatendeka...!!! Maana hawa jamaa inaonekana wanafikiri kwa kutumia makario sio kingine
 
Back
Top Bottom