Viongozi wa CHADEMA wana mgodi wa dhahabu ndani ya Nyarugusu

Dume la Mende

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
423
64
Ndugu watanzania naomba mjue baadhi ya viongozi wetu walivyo wezi,viongozi wawili waandamizi wa CDM wanamiliki mgodi huko Nyarugusu kinyume na utaratibu. Hakuna kiongozi wa wilaya wala mkoa aliyekemea swala hilo, hata waziri wa maliasili na utalii anayetamba kusafisha wizara hiyo yuko kimya katika suala hilo.Wananchi wa kawaida wakikata kuni tu tatizo, naomba viongozi wa serikari, siasa, kidini, wanajf na wananchi wote tulisemee suala hili ili waondoke hapa kwa amani kabla nguvu ya umma haijawatoa kwa aibu.​
 
Toka lini mende akawa na akili ya kuongelea mambo ya binadamu?
 
kwa style hii hamtafanikiwa kuisambaratisa CDM,coz kila siku mna ibua jipya kabla hamjakamilisha lililopita....pumba tupu!
 
Mende unababuliwa kotekote, umechukua story ya JK kumiliki mgodi huko bukombe na luhalula ukaipaste. Anywa tabia ya mende hawana akili
 
hiyo ya Jike la MEnde ni silly counter-punch inayoonyesha typical CCM wa sasa, hawana hata akili za kufikira wafanye nini zaidi ya kuchafua hewa kwa uzushi

Hawana hoja ni kuzusha ili ineutralize hoja ya nguvu

Watanzania si mabwege tena!!
 
Ndugu watanzania naomba mjue baadhi ya viongozi wetu walivyo wezi,viongozi wawili waandamizi wa CDM wanamiliki mgodi huko Nyarugusu kinyume na utaratibu. Hakuna kiongozi wa wilaya wala mkoa aliyekemea swala hilo, hata waziri wa maliasili na utalii anayetamba kusafisha wizara hiyo yuko kimya katika suala hilo.Wananchi wa kawaida wakikata kuni tu tatizo, naomba viongozi wa serikari, siasa, kidini, wanajf na wananchi wote tulisemee suala hili ili waondoke hapa kwa amani kabla nguvu ya umma haijawatoa kwa aibu.​

Utakuwa umeamkia gomba(mirungi) wakati wa kuandika hii thread ulikuwa unacheuwa majani kwani sikuelewi.

SHITE
 
Unataka nass tukuletee ushahidi wa kubuni? Kamwe hatuwezi kufanya hivyo kwakuwa ukweli ndiyo asili ya mwana mageuzi na uchakachuaji niasili ya vyama kama ccm! Huo ushahid unaotaka kuuleta na wauongo kwann usingeuweka ulipo ileta mada? Umeona tumebain usenge wenu ukaanza kutengeneza ushahid ushwara!!!
 
Tusimtukane ndugu Mende. Amesema atatoa evidence, akishindwa ndipo tumshambulie. Kwanini watu wengine mna matusi makubwa kiasi hicho? Tuwe wastaarabu ndugu.
 
Ndugu watanzania naomba mjue baadhi ya viongozi wetu walivyo wezi,viongozi wawili waandamizi wa CDM wanamiliki mgodi huko Nyarugusu kinyume na utaratibu. Hakuna kiongozi wa wilaya wala mkoa aliyekemea swala hilo, hata waziri wa maliasili na utalii anayetamba kusafisha wizara hiyo yuko kimya katika suala hilo.Wananchi wa kawaida wakikata kuni tu tatizo, naomba viongozi wa serikari, siasa, kidini, wanajf na wananchi wote tulisemee suala hili ili waondoke hapa kwa amani kabla nguvu ya umma haijawatoa kwa aibu.​

Tulifanya maandamano kanda ya ziwa hata MENDE hatukumkanyaga DUME LA MENDE ni shahidi, kuna mende mwenzako alikufa?
Mende ni mende tu hata kama ni dume lao.. JF ondoa hii post au ifunge
 
Mgodi unaitwaje? Nani mmlik? Sehemu ulipo? Kinyume cha sheria ipi? Waajiriwa wangap? Mgodi wa aina gani? Chumvi? dhahabu? Diamond? Madin yap? Ukubwa wa eneo, source nayo je?
 
Ndugu watanzania naomba mjue baadhi ya viongozi wetu walivyo wezi,viongozi wawili waandamizi wa CDM wanamiliki mgodi huko Nyarugusu kinyume na utaratibu. Hakuna kiongozi wa wilaya wala mkoa aliyekemea swala hilo, hata waziri wa maliasili na utalii anayetamba kusafisha wizara hiyo yuko kimya katika suala hilo.Wananchi wa kawaida wakikata kuni tu tatizo, naomba viongozi wa serikari, siasa, kidini, wanajf na wananchi wote tulisemee suala hili ili waondoke hapa kwa amani kabla nguvu ya umma haijawatoa kwa aibu.​

Wewe huelewi maana ya nguvu ya umma,

Nachojua ni kwamba Viongozi wa CDM wote ni waTZ na ni halali kwa mtanzania kumiliki mgodi wa madini ya aina yeyote kama ilivyo halali kwa waarbu kumiliki visim vya mafuta huko kwao kwa hii ndiyo bahati ya kuwa mtanzania.

Sina hakika na ulicho kiandika kama kina ukweli, kama ni kweli basi ni hallali kama ilivyo kwa mtu yeyote kumiliki eneo la shamba.

Swali langu ni kwamba wewe unafurahia migodi yote ya madini kama Uranium, Tanzanite, Almasi, Dhahbu kumilikiwa na Wazungu na Makaburu? Naamini jibu lako litakuwa ndiyo kama ambavyo hutaki waTZ wamiliki.

Nitakuwepo
 
Naamini utakuwa umejibu hivihivi kwenye ile post ya mlango wa pili.
 
ha ha ha ha ha ha ha ha ha..........................Jamaa anajiamini sana,tumpe nafasi wanaJF..............
 
Dume la Mende mmmh ukisikia uongo ndio huu, anyway tupe huo ushahidi na ukishindwa kufanya hvyo ctasita kukuita malaya!
 
Samahani sn mtoa mada umekuwa na mawazo mabaya ndiyo maana watu wengi wanaona umetumwa na wenye migodi na makampuni 17 kwa majina tofauti japo tunawafaham lkn tunasema kuwa ''CHANGES IS MUST'' ccm lazima watoke ili nchi isonge mbele, umbea mbele ya wanaume Researchers wa JF haiwezi pita bila ya ukweli, tunakushauri ujiulize ubaya wakumiliki uko wapi? je wamemilikishwa kifisaadii? au unatafuta kuungwa mkono kuchafua ukweli wa mambo? fikiria sn, TZ hasa bara bila donda ndugu la ccm kukatwa nikimaanisha kuwa ili upone kanza ya mguuni lazima mguu ukatwe, nakuahidi kuwa Zenj muda si mrefu itakuwa kama Rwanda, wakati bara itabaki ikirumbana ccm kwa vjiccm vidogo na wasema ovyo kama akina manyuzi wanao shindwa kuwa na chema cha kuongea kwa watu kama mwanae.
unapotoa toa kwa ujenzi siyo kuonyesha kuwa akina AR hukuwaona na uozo wao unao chafua hewa cku zote?
 
Wote;
Tafadhari jipakulie attachments hizo muone maajabu.
Nipo.

mimi naona wewe ni jike la mende sio dume, hapa sio sehemu ya kuandika majungu au sio sehemu ya propaganda ya Chiligati na Makamba. hebu lete hizo Attachment kama huna tulia na unyamaze kimya usitake kuumiza watu vichwa:embarassed2:
 
Back
Top Bottom