Viongozi wa CHADEMA wana matatizo inabidi tuwasaidie!

Dijovisonjn

Dijovisonjn

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2011
Messages
462
Likes
2
Points
35
Dijovisonjn

Dijovisonjn

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2011
462 2 35
Kwa yeyote anayefuatilia siasa za hapa nyumbani ataungana na mimi kuwa viongozi wakuu wa CHADEMA hasa mwenyekiti na katibu wake hawana uwezo wa kuongoza kwa sababu uongozi wao umejaa mabavu, chuki, visasi na tamaa. Kwa kifupi tu uwezo wao wa kiuongozi umeshuka sana na wanahitaji msaada wa haraka ili kusaidiwa!
Kuna njia nyingi za kuwasaidia, moja napendekeza wanatakiwa kuwabadilisha washauri wao na kutafuta wengine wenye mbinu mpya za kushindana na wapinzani wa CHADEMA, pili wanatakiwa wajengewe hali ya kuvumilia hata yale yanayowagusa hadi katika vungu za mioyo yao, tatu wanatakiwa wawe watu wa kusoma sana ili waweze kujiongezea maarifa.
Binafsi napenda sana kujiongezea maarifa kila siku ila ni mvivu wa kujisomea hasa vitabu vyenye maelezo mengi, ila namshukuru Mungu napenda kuangalia movies, na nimeamua kutafuta movies ambazo zitanisaidia kujiongezea maarifa, sasa katika pita pita yangu nikakutana na movie inaitwa "Captain Phillips" nikatamani kweli kuwaonesha viongozi wa CHADEMA hii movie kwani niliamini wakiiangalia wanaweza wakajifunza kitu katika uongozi wao. bahati nzuri nimepata link ya hii movie na naiweka hapa kwa ajili ya hawa viongozi, katika hii movie ina kama viongozi watatu hivi au wanne wa aina tofauti sasa hawa waeshimiwa waangalie ni position ipi inawafaa!

Enjoy the movie here: Watch Captain Phillips Online Free Putlocker | Putlocker - Watch Movies Online Free
 
Nduka

Nduka

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2008
Messages
8,524
Likes
833
Points
280
Nduka

Nduka

JF-Expert Member
Joined Dec 3, 2008
8,524 833 280
Wameshindwa kumsaidia matibabu aliyekuwa mwenyekiti Tanga baada ya kupata ajali akiwa kwenye kampeni za chama na hatimaye amefariki. Wanalaana ya mauaji ya Zuberi Dhahabu.
 
Patrickn

Patrickn

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Messages
8,330
Likes
5,064
Points
280
Patrickn

Patrickn

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2010
8,330 5,064 280
Bora huo ubabe wao kuliko u-shkaji wa jk
 
Kibo10

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Messages
11,285
Likes
3,710
Points
280
Kibo10

Kibo10

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2013
11,285 3,710 280
Kwa yeyote anayefuatilia siasa za hapa nyumbani ataungana na mimi kuwa viongozi wakuu wa CHADEMA hasa mwenyekiti na katibu wake hawana uwezo wa kuongoza kwa sababu uongozi wao umejaa mabavu, chuki, visasi na tamaa. Kwa kifupi tu uwezo wao wa kiuongozi umeshuka sana na wanahitaji msaada wa haraka ili kusaidiwa!
Kuna njia nyingi za kuwasaidia, moja napendekeza wanatakiwa kuwabadilisha washauri wao na kutafuta wengine wenye mbinu mpya za kushindana na wapinzani wa CHADEMA, pili wanatakiwa wajengewe hali ya kuvumilia hata yale yanayowagusa hadi katika vungu za mioyo yao, tatu wanatakiwa wawe watu wa kusoma sana ili waweze kujiongezea maarifa.
Binafsi napenda sana kujiongezea maarifa kila siku ila ni mvivu wa kujisomea hasa vitabu vyenye maelezo mengi, ila namshukuru Mungu napenda kuangalia movies, na nimeamua kutafuta movies ambazo zitanisaidia kujiongezea maarifa, sasa katika pita pita yangu nikakutana na movie inaitwa "Captain Phillips" nikatamani kweli kuwaonesha viongozi wa CHADEMA hii movie kwani niliamini wakiiangalia wanaweza wakajifunza kitu katika uongozi wao. bahati nzuri nimepata link ya hii movie na naiweka hapa kwa ajili ya hawa viongozi, katika hii movie ina kama viongozi watatu hivi au wanne wa aina tofauti sasa hawa waeshimiwa waangalie ni position ipi inawafaa!

Enjoy the movie here: Watch Captain Phillips Online Free Putlocker | Putlocker - Watch Movies Online Free
Unajisumbua kijana zitto ataondoka tu taka asitake unapoteza muda kuandika
 
Kiboko.

Kiboko.

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2013
Messages
2,698
Likes
447
Points
180
Kiboko.

Kiboko.

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2013
2,698 447 180
Waache waangukie pua watanzania tushasema hakuna wapinzan mpaka sasa bali kuna genge la wahun tuu
 
Forum statistics

Threads 1,238,950
Members 476,289
Posts 29,337,676