Viongozi wa Chadema walijuwa Mauaji ya Nyololo mapema

Mkuu Dr. Slaa kukimbia asidhurike (kama kweli alifanya hivyo) ni kwa faida na usalama wa nchi wala sio kwa ajili yake. Tushukuru sana busara hii ya viongozi na intelijensia ya Chadema.

haswaaa! Angedhuriwe dr. Slaa mi ningelipa mara mia moja!
 
Kwa nn usione kama alikuwa na majukumu mengne wew unaona negative tuuuuu. Had 2015 tutaona kila rangi.
 
Viongozi wengine waliwahi. "Aliyechelewa" ni Dr. Slaa peke yake. We¨nzake mpaka kwenye picha za matukio wanaonekana, yeye ufunguzi wa tawi la kwanza "kachelewa", la pili pia "kachelewa". Logically, ilibidi ufunguzi umsubiri kiongozi mkuu, kuendelea kwa shughuli ilhali kiongozi mkuu hajafika ni ishara tosha kuwa ilifahamika kuwa kaingia mitini...

Akili kichwani...

yote haya ni kwa usalama wa nchi. La sivyo pangechimbika nchi nzima.
 
Slaa alituma ujumbe kwa Mwema kuwa atayarishe risasi. Chadema jinsi walivyo wanaweza kuwa wamemtumia Polisi aliyeuwa au ni Daudi mwenyewe alijifunga bomu. Yote yanawezekana, Slaa Mungu kamuumbuwa na akatuma mwenyewe ujumbe. Huyo inafaa ashitakiwe haraka sana.

Mwema usimwache huy, ni teroorist na hiyo sms inabainisha kuwa sasa anatumia u terrorist baada ya kujuwa kuwa hii nchi hana ujanja wa kupata kura za wengi, hususan baada ya Watanzania wengi kutoridhishwa na vitendo vyake vya kutokuwa na maadili mema.

Aliyeandika haya eti naye ni Grate Sinker mwenye Permanent head Damage (PhD)! Halafu tunashangaa kwanini nchi ni masikini. Kweli kusoma sio kuelimika.
 
Slaa alituma ujumbe kwa Mwema kuwa atayarishe risasi. Chadema jinsi walivyo wanaweza kuwa wamemtumia Polisi aliyeuwa au ni Daudi mwenyewe alijifunga bomu. Yote yanawezekana, Slaa Mungu kamuumbuwa na akatuma mwenyewe ujumbe. Huyo inafaa ashitakiwe haraka sana.

Mwema usimwache huy, ni teroorist na hiyo sms inabainisha kuwa sasa anatumia u terrorist baada ya kujuwa kuwa hii nchi hana ujanja wa kupata kura za wengi, hususan baada ya Watanzania wengi kutoridhishwa na vitendo vyake vya kutokuwa na maadili mema.

Madhara yakuongelea maeneo yaviroba ndio haya!Kuna kamishina mmoja nae alikurupuka kama wewe(Ooo kitu kizito kilirushwa!),sasa picha zimetoka haongei!Kiherehere choote kimemuisha!Nadhani kesho mapeema unaenda kukinga chako eti eee?Siumejibu post!**¤¤¡ Zako!:-O!
 
Ni jambo la kawaida kumficha na kumlinda mkuu wa kundi ili asidhurike na kwa hiyo kama taarifa zilionyesha kuwa polisi wanataka na wamekusudia kuua na kweli wakaua wangeshindwaje kumuua dr Slaa na kuitumbukiza nchi katika taharuki? Magamba ninyi mngemtanguliza mwenyekiti wenu?
 
nakubaliana na hoja yako,hata wana wa Israel walimficha Mfalme Daudi wakati wa vita,waliogopa asije akauwawa na wafilisti,ni strategy nzuri
 
ujinga mwingine bwana ni wa kujitakia. Sasa suala la mwandishi kupigwa vibaya na kundi la maaskari na hatimaye kuuawa kinyama vile lina uhusiano na chadema? Au waandishi hawaruhusiwi kutoa taarifa za wapinzani. Hivi mtanzania wa leo unaweza uka- argue vile while upuuzi wa maaskari wetu ukiwa dhahiri namna ile? No una roho ya mwendawazimu hivi.
Yeye kakimbia asidhurike ila wanachama anawaambia hakuna kukubali amri ya polisi "mpaka kieleweke"!!!

Akili kichwani...
 
slaa alituma ujumbe kwa mwema kuwa atayarishe risasi. Chadema jinsi walivyo wanaweza kuwa wamemtumia polisi aliyeuwa au ni daudi mwenyewe alijifunga bomu. Yote yanawezekana, slaa mungu kamuumbuwa na akatuma mwenyewe ujumbe. Huyo inafaa ashitakiwe haraka sana.

Mwema usimwache huy, ni teroorist na hiyo sms inabainisha kuwa sasa anatumia u terrorist baada ya kujuwa kuwa hii nchi hana ujanja wa kupata kura za wengi, hususan baada ya watanzania wengi kutoridhishwa na vitendo vyake vya kutokuwa na maadili mema.

ndugu zake na huyu aliyeandika hapo juu - nawajulisha kuna hospitali inaitwa mirembe - dodoma - muwahisheni upesi otherwise ataanza kuokota makopo
 
Mie ninavyofahamu ni kuwa Wananchi wa kawaida walimsikiliza Dr. Slaa na ndiyo maana hawakufa hata mmoja.

Ukisoma vizuri utagundua kuwa WALIOPIGWA na KUULIWA ni WAANDISHI WA HABARI.

Inaonekana Huyu RPC alikuwa na hamu na damu ya WAANDISHI WA HABARI.

Ndiyo maana kipigo chao walikielekeza kwao. Kuna mmoja anasema walikuwa wakimsaka Iringa.

Nina imani hata Nyanya yako hili analijua, ila wewe tu ndiyo hujui...... Kichwa kutumika kufuga nywele tu.
 
Viongozi wengine waliwahi. "Aliyechelewa" ni Dr. Slaa peke yake. We¨nzake mpaka kwenye picha za matukio wanaonekana, yeye ufunguzi wa tawi la kwanza "kachelewa", la pili pia "kachelewa". Logically, ilibidi ufunguzi umsubiri kiongozi mkuu, kuendelea kwa shughuli ilhali kiongozi mkuu hajafika ni ishara tosha kuwa ilifahamika kuwa kaingia mitini...

Akili kichwani...

Kama umeangalia vyombo vya habari jana utakuwa umejua kwa nini maana mashuhuda walijificha si mbali na walipokuwa wamejificha polisiccm waliokuwa wanawinda Dr. Slaa. Kwa nini walijificha wakiwinda binadamu? Usiniulize onana na IGP au Kamuhanda (wahaya tusaidieni maana ya Kamuhanda) maana ameihanda sasa serikali aliyokuwa anafikiri anaitetea!!!!! Kazi kweli kweli kujua matokeo ya fikra chafu za mwanadamu.
 
Why wasijue na ilikuwa ni lazima mtu ATOLEWE KAFARA AJE ILI CHAMA KIPATE UMAARUFU na imefanikiwa . Sasa dokta SLAA aende akafanye nn
 
Why wasijue na ilikuwa ni lazima mtu ATOLEWE KAFARA AJE ILI CHAMA KIPATE UMAARUFU na imefanikiwa . Sasa dokta SLAA aende akafanye nn
mtu akisoma haya maandishi inakuwa ngumu sana kuwa convinced kuwa huyu ni great thinker...rather a "dark thinker"
 
Slaa alituma ujumbe kwa Mwema kuwa atayarishe risasi. Chadema jinsi walivyo wanaweza kuwa wamemtumia Polisi aliyeuwa au ni Daudi mwenyewe alijifunga bomu. Yote yanawezekana, Slaa Mungu kamuumbuwa na akatuma mwenyewe ujumbe. Huyo inafaa ashitakiwe haraka sana.

Mwema usimwache huy, ni teroorist na hiyo sms inabainisha kuwa sasa anatumia u terrorist baada ya kujuwa kuwa hii nchi hana ujanja wa kupata kura za wengi, hususan baada ya Watanzania wengi kutoridhishwa na vitendo vyake vya kutokuwa na maadili mema.

...na hii nayo...what the hell is this nonsense?
 
Back
Top Bottom