Viongozi wa CHADEMA tusaidieni kuweka mambo sawa. Baraza Kuu ndio hufukuza wanachama?

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Oct 2, 2020
2,212
2,000
Naona kama Spika wa bunge la JMT anakosa hoja na kuweweseka. Hivi baraza kuu la Chadema ndio huvukuza wanachama?

Ndio kusema Spika Ndugai anajikita kuwatetea akina Halima kwa kudai Katiba ya Chadema bado inawatambua akina Halima.

Naomba tupewe ufafanuzi, kama kamati kuu ya Chadema ilisafukuza uanachama, wakakata rufaa. Ndip mpaka baraza kuu likae? Sasa hawa makamanda ni wabunge halali?
 

Kinuju

JF-Expert Member
Mar 20, 2021
2,163
2,000
Lazaro Nyalandu alimgaragaza Tundu Lisu kwenye kura za kamati kuu.!

Huyu mzee wa MIGA ,mwanasheria a Acacia anaaminika na nani sasa kama hadi kamati kuu anashindwa kura??
 

NAWATAFUNA

JF-Expert Member
Nov 14, 2019
11,364
2,000
Lazaro Nyalandu alimgaragaza Tundu Lisu kwenye kura za kamati kuu.!

Huyu mzee wa MIGA ,mwanasheria a Acacia anaaminika na nani sasa kama hadi kamati kuu anashindwa kura??
Aisee ni aibu kwa huyu wakala wa MIGA.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom