Haya maneno unamwambia nani? Kama umeyaelekeza kwa hawa "Waathirika" unapoteza muda wako bure.Nawakumbusha tu Wabunge wa CCM na UVCCM kuwa hata Wabunge wa Chama Tawala nchini Burundi walitunga sheria nyingi za hovyo kwa ajili ya kumfurahisha Nkurunziza ila walisahau kuwa kuna kesho lakin pia kuna nafasi ya Mungu.
Kufa ni faradhi kila mmoja ataonja mauti nini wewe unaogopa!Nawakumbusha tu Wabunge wa CCM na UVCCM kuwa hata Wabunge wa Chama Tawala nchini Burundi walitunga sheria nyingi za hovyo kwa ajili ya kumfurahisha Nkurunziza ila walisahau kuwa kuna kesho lakin pia kuna nafasi ya Mungu.
Eti mnyika anauhadaa uma kuwa alikuwa na watu kina nani waliokimbia wakamuacha peke yake!Safari hii kila wanalofanya linabuma!
Walianza kumkosoa Magu wakati wa corona kwamba asipofungia watu ndani watanzania watakufa Kama mchwa, hilo halikutokea wakabaki na aibu zao.
Mfalme akaamlisha wabunge wote wa CHADEMA wasihudhurie bunge na kujifungia kwa siku 14! Kwa watanzania wengi hiki kilikuwa kit uko cha karne! Wabunge wanaojielewa wakakaidi amri hii.
Mfalme akawafukuza wabunge hao. Hapa napo alifanya kosa la karne, kwani wabunge hao nao wakaamua kumwaga mboga, kutoa siri za usanii wote wa CHADEMA.
Sasa kaibuka na hekaya za kuvamiwa wakati alikuwa chakari! Hili limebuma asubuhi kabisa!
Mlifurahia kigogo alipowaimbisha nanyi mkaimba hakuna kuwahurumia mafisi wala mizoga!Ila ccm makatili sana , Ni zaidi ya makaburu.wabunge Wa ccm kushangilia mtanzania mwenzetu kuumia kisa Ni mpinzani sio sawa.duh
Hawa Jamaa wamegeuka kuwa comedians! Waungane na Joti kuanzisha show!Eti mnyika anauhadaa uma kuwa alikuwa na watu kina nani waliokimbia wakamuacha peke yake!
Aibu yao!Hawa Jamaa wamegeuka kuwa comedians! Waungane na Joti kuanzisha show!
Alikuwa na Joyce.Eti mnyika anauhadaa uma kuwa alikuwa na watu kina nani waliokimbia wakamuacha peke yake!
ccm ni chama mfu badala ya kujibu hoja wao wanawapiga wadadisi. hata kupigwa risasi tundu lisu mliandika ujinga huu huu.Wanabodi Natumai mpo salama na Mungu anaendelea kutuepusha na hili janga la Covid19 Basi naomba niende kwenye mada bila kupoteza muda.
Leo asubuhi nimekutana na habari ya kuvamiwa
kwa mwenyekitii wa Chadema, Mh freeman Mbowe akiwa Dodoma.
Hivyo ikabidi nifuatilie undani wa taarifa zaidi, nanukuu nilichokisikia kutoka kwa Tumain makene Kupitia sauti ya simu;
"Nikweli mwenyekiti wetu amevamiwa na kundi la watu wasiojulikana mida ya sa6-7 usiku wakati akirejea nyumbani kwake, kundi Hilo lilimuvizia alipokuwa akipanda ngazi za kuelekea nyumban kwake Dodoma na likampiga na kumjeruhi. Amekimbizwa hospital kwa ajili ya matibabu zaidi taarifa zaidi tutazitoa baadae" Tumain Makene Msemaji wa idara ya nawasiliano Chadema.
Kwamaelezo hayo yamenifanya nipate ukakasi juu ya hilo tukio na kufanya nilione kwa asilimia kubwa Kama Ni kiki za kisiasa tu za kujarbu kutafta huruma kwa wananchi. Miongoni mwa masawali yanayotatiza juu ya hilo tukio Ni hayapa;
1. Je Mh Mbowe Hakuwa na walinzi/Wapambe Tena mida ya usiku Kama Ile? Na Kama alikuwa nao mbona wao hawajaripotiwa kukwaruzwa Wala kupambana na hao wavamiaji?
2. Wavamizi waliingiaingia je ndani ya eneo la nyumba ya Mbowe mpaka wakamusubiri apaki gari lake akaanza kupanda ngazi ndo wakamuvamia? Nikweli nyumba ya kiongozi mkubwa Kama Mbowe haina walinzi kweli Hadi watu waingie kirahisi vile? Na Kama wapo walipambana na hao wavamizi?
3. Nikweli Mbowe pale dodoma anaishi mwenyewe tu Hakuna mtu mwingine anaeishi nae? Na Kama yupo je mbona yeye hakuumizwa Wala kujeruhiwa au hao wavamizi walikuwa ghosts?
4. Nikweli tukio la Mbowe limekaa kisaiasa au kijamii , ikumbukwe pia Wabunge wetu huwa wanatabia ya kuingilia mahusiano ya watu wanapokuwa huko bungeni(hili lipo wazi) japo simanishi ndo Sababu ila inaweza wekwa kwenye kudhani pia.
NOTE; Ikumbukwe tukio hili la uvamizi halijafanyika barabarani,bar,ofisini na n.k Bali limefanyika eneo la makazi ya Mbowe Tena akipanda ngazi.
#Viongozi punguzeni kiki za kisiasa mtakuja kuumia halfu bila kupata hiyo huruma mnayoitafta.
#Watu punguzeni kudhurula usiku wa manane pia. Mpaka inafika sa6+ hujarejea nyumbani tu huo Ni udhurulaji hata Sheria ya udhurulaji ipo wazi juu ya hili. Pia tusisahau kuwa usiku una Mambo mengi sana.
Ahsanteni.
Bora kuongozwa na Chizi mkuu siyo kuongozwa na mlevi mkuu.ccm ni chama mfu badala ya kujibu hoja wao wanawapiga wadadisi. hata kupigwa risasi tundu lisu mliandika ujinga huu huu.
wenzenu wanatoa hoja nyie mnawashambulia badala ya kujibu hoja zao
hovyo kabisa mkiaongozwa na chizi mkuu