Viongozi wa CHADEMA msitafute huruma ya wananchi kupitia kiki za matukio, mtaumia bure

Nawakumbusha tu Wabunge wa CCM na UVCCM kuwa hata Wabunge wa Chama Tawala nchini Burundi walitunga sheria nyingi za hovyo kwa ajili ya kumfurahisha Nkurunziza ila walisahau kuwa kuna kesho lakin pia kuna nafasi ya Mungu.
 
Haya maneno unamwambia nani? Kama umeyaelekeza kwa hawa "Waathirika" unapoteza muda wako bure.

Hawa wanaoamini Tanzania imeishiwa viongozi amebaki mmoja tu, utawaambia nini kuhusu kesho wakuelewe?
 
Safari hii kila wanalofanya linabuma!

Walianza kumkosoa Magu wakati wa corona kwamba asipofungia watu ndani watanzania watakufa Kama mchwa, hilo halikutokea wakabaki na aibu zao.

Mfalme akaamlisha wabunge wote wa CHADEMA wasihudhurie bunge na kujifungia kwa siku 14! Kwa watanzania wengi hiki kilikuwa kit uko cha karne! Wabunge wanaojielewa wakakaidi amri hii.

Mfalme akawafukuza wabunge hao. Hapa napo alifanya kosa la karne, kwani wabunge hao nao wakaamua kumwaga mboga, kutoa siri za usanii wote wa CHADEMA.

Sasa kaibuka na hekaya za kuvamiwa wakati alikuwa chakari! Hili limebuma asubuhi kabisa!
 
Ila ccm makatili sana , Ni zaidi ya makaburu.wabunge Wa ccm kushangilia mtanzania mwenzetu kuumia kisa Ni mpinzani sio sawa.duh
 
Nawakumbusha tu Wabunge wa CCM na UVCCM kuwa hata Wabunge wa Chama Tawala nchini Burundi walitunga sheria nyingi za hovyo kwa ajili ya kumfurahisha Nkurunziza ila walisahau kuwa kuna kesho lakin pia kuna nafasi ya Mungu.
Kufa ni faradhi kila mmoja ataonja mauti nini wewe unaogopa!
 
Safari hii kila wanalofanya linabuma!

Walianza kumkosoa Magu wakati wa corona kwamba asipofungia watu ndani watanzania watakufa Kama mchwa, hilo halikutokea wakabaki na aibu zao.

Mfalme akaamlisha wabunge wote wa CHADEMA wasihudhurie bunge na kujifungia kwa siku 14! Kwa watanzania wengi hiki kilikuwa kit uko cha karne! Wabunge wanaojielewa wakakaidi amri hii.

Mfalme akawafukuza wabunge hao. Hapa napo alifanya kosa la karne, kwani wabunge hao nao wakaamua kumwaga mboga, kutoa siri za usanii wote wa CHADEMA.

Sasa kaibuka na hekaya za kuvamiwa wakati alikuwa chakari! Hili limebuma asubuhi kabisa!
Eti mnyika anauhadaa uma kuwa alikuwa na watu kina nani waliokimbia wakamuacha peke yake!
 
"%kubwa ya Wabunge wathibitisha kuwa Mh Mbowe hakuvamiwa Wala kupigwa Bali yawezekana aliteleza wakati anapanda ngazi maana alikuwa amelewa chakali" Parliament voice.

"Nilituma madaktari wangu kwenda kuchunguza Afya ya Mbowe na Wamesema Alikuwa amelewa chakali" spika Job dungai.

Hivyo Basi kutokana na maelezo hayo ya Wabunge na spika inathibitisha kabisa hizi Ni Kiki tu Ama Viongozi wa Chadema Waliona watumie Kiki ya kuvamiwa na kupigwa baada ya kuuambia Umma kuwa; "Mwenyekiti wao kateguka mguu baada kuteleza kwenye ngazi alipokuwa akirejea nyumban usiku wa sa6+ akiwa amelewa chakali"

Kwani kulewa Ni kosa jaman? Mungesema tu hivyo Sisi wananchi tungeelewa mbona huku mtaani watu kibao tu wanapata vilema Sababu ya kuanguka mitaroni wakiwa wamelewa na wengine kufa kabisa mbona wao hamuwasemei Kama wametumiwa watu wasiojulikana?

Mbowe yeye siyo mlevi Hadi asianguke? Au yeye siyo mlevi kama walevi wa huku mtaani wanao anguka mitaroni,,

Binafsi tukio la Mbowe nitaendelea kuamni mpaka kesho kuwa nila kupikwa tu Ila uhalisia Ni kuwa Mbowe alikuwa amelewa na tukio Hilo lihusishwe na ajali wanazozipata walevi wanapokuwa wamelewa na Wala siyo kuihusisha serikali Wala mtu/watu kisa Mbowe Ni KUB na Mwenyekiti wa Chadema.. never! Never!

#Chonde chonde Ulevi noma
 
Wanabodi Natumai mpo salama na Mungu anaendelea kutuepusha na hili janga la Covid19 Basi naomba niende kwenye mada bila kupoteza muda.

Leo asubuhi nimekutana na habari ya kuvamiwa
kwa mwenyekitii wa Chadema, Mh freeman Mbowe akiwa Dodoma.
Hivyo ikabidi nifuatilie undani wa taarifa zaidi, nanukuu nilichokisikia kutoka kwa Tumain makene Kupitia sauti ya simu;

"Nikweli mwenyekiti wetu amevamiwa na kundi la watu wasiojulikana mida ya sa6-7 usiku wakati akirejea nyumbani kwake, kundi Hilo lilimuvizia alipokuwa akipanda ngazi za kuelekea nyumban kwake Dodoma na likampiga na kumjeruhi. Amekimbizwa hospital kwa ajili ya matibabu zaidi taarifa zaidi tutazitoa baadae" Tumain Makene Msemaji wa idara ya nawasiliano Chadema.

Kwamaelezo hayo yamenifanya nipate ukakasi juu ya hilo tukio na kufanya nilione kwa asilimia kubwa Kama Ni kiki za kisiasa tu za kujarbu kutafta huruma kwa wananchi. Miongoni mwa masawali yanayotatiza juu ya hilo tukio Ni hayapa;

1. Je Mh Mbowe Hakuwa na walinzi/Wapambe Tena mida ya usiku Kama Ile? Na Kama alikuwa nao mbona wao hawajaripotiwa kukwaruzwa Wala kupambana na hao wavamiaji?

2. Wavamizi waliingiaingia je ndani ya eneo la nyumba ya Mbowe mpaka wakamusubiri apaki gari lake akaanza kupanda ngazi ndo wakamuvamia? Nikweli nyumba ya kiongozi mkubwa Kama Mbowe haina walinzi kweli Hadi watu waingie kirahisi vile? Na Kama wapo walipambana na hao wavamizi?

3. Nikweli Mbowe pale dodoma anaishi mwenyewe tu Hakuna mtu mwingine anaeishi nae? Na Kama yupo je mbona yeye hakuumizwa Wala kujeruhiwa au hao wavamizi walikuwa ghosts?

4. Nikweli tukio la Mbowe limekaa kisaiasa au kijamii , ikumbukwe pia Wabunge wetu huwa wanatabia ya kuingilia mahusiano ya watu wanapokuwa huko bungeni(hili lipo wazi) japo simanishi ndo Sababu ila inaweza wekwa kwenye kudhani pia.

NOTE; Ikumbukwe tukio hili la uvamizi halijafanyika barabarani,bar,ofisini na n.k Bali limefanyika eneo la makazi ya Mbowe Tena akipanda ngazi.

#Viongozi punguzeni kiki za kisiasa mtakuja kuumia halfu bila kupata hiyo huruma mnayoitafta.
#Watu punguzeni kudhurula usiku wa manane pia. Mpaka inafika sa6+ hujarejea nyumbani tu huo Ni udhurulaji hata Sheria ya udhurulaji ipo wazi juu ya hili. Pia tusisahau kuwa usiku una Mambo mengi sana.

Ahsanteni.
ccm ni chama mfu badala ya kujibu hoja wao wanawapiga wadadisi. hata kupigwa risasi tundu lisu mliandika ujinga huu huu.
wenzenu wanatoa hoja nyie mnawashambulia badala ya kujibu hoja zao
hovyo kabisa mkiaongozwa na chizi mkuu
 
Bora kuongozwa na Chizi mkuu siyo kuongozwa na mlevi mkuu.
 
Back
Top Bottom