Reference ya upinzani inaanzia mwaka 1992 mfumo wa vyama vingi ulipoanza. Yeyote aliyebaki ccm baada ya mwaka huo ndo mwana ccm halisi na ambaye alijiunga na upinzani ndo mpinzani halisi.Kila ambae yuko upinzani alikuwa ccm,
Kwa kigezo hiki utagundua wanachadema zaidi 95% ni ccm. Lakini vyama kama NCCR na CUF vilipoteza makada wao kutokana na njema hila na ulaghai wa ccm wakati CDM ilitanuka kutokana na kupokea mamluki toka CCM.