Viongozi wa CHADEMA kupandishwa kizimbanii leo

Wametoa sababu gani za kuahirishwa kwa kesi?

kesi ilikuwa imeshapangwa kusikilizwa tarehe 24 .6 hoja leo ilikuwa ni kuhusiana na hati ya kuwa kamata washitakiwa namba 1 mpaka wa 8..nadhani hii ndiyo sababu ingawa haikutamkwa
 
Nashukuru kwa ufafanuzi mku...asante kwa kutujuza kilichokuwa kikiendelea
 
aaah muda wa usanii na kujikomba kwa wakubwa wao umekwisha.watupishe...pisha njia..tuchukue nchi yetu!
 
unajua taratibu za ndoa..umeolewa?
achana nae huyo mkuu,maana inaonekana kati ya yoote ulotujuza kwa akili yake amepima na kuona hilo la mimba na hawara ndo lina tija,baadala ya kujadili facts in issue. anataka ku divate minds za watu huyo....
 
VIONGOZI WETU WA CHADEMA tupo nanyi bega kwa bega,Haki itapatikana tuuuuuuuuuu.CCM hawana nafasi ktk taifa hili.Wanatawala ikulu,Chadema tuna ongoza inchi nje ya ikulu.Thnkxxxxxxxxxxxx
 
Mpaka kero..anapitia jalada.... siku zote alikuwa anafanya nini? au ndiyo alivyo agizwa....
Ndugu unafikiri hapo kuna cha kesi hapo hilo liko wazi kwamba kesi hii ni ya kupikwa na kwa sababu ni ya kupikwa hakuna linaloshangaza!! Unaweza hata siku moja ukasikia lazima jalada lao lisainiwe na raisi hata kama sivyo inavyokuwaga.

CCM ni mfa maji haishi kutapatapa.
 
Kesi imehairishwa mpaka tarehe 21-10-2011...baada ya washitakiwa wawili kutofika mahakamani nao ni Josephine na Ndesamburo kwa sababu tofauti: Josephine ana udhuru mpaka tarehe 2-10-2011 na Ndesamburo aliyeko nje ya nchi kwa matibabu naye ana udhuru mpaka tarehe 17-10-2011
 
Kesi ya Viongozi wa CHADEMA na wanachama wanaotuhumiwa kufanya maandamano kinyume na amri iliyotolewa na jeshi la polisi makao makuu itaendelea tena leo....
 
What a waist. Maandamano yana matatizo gani. hao Police walioua wamefikishwa mahakamani? kwanza kibali chanini Police, Hao wanatakiwa wapewe taarifa tu.
 
Kesi imehairishwa mpaka tarehe 21-10-2011...baada ya washitakiwa wawili kutofika mahakamani nao ni Josephine na Ndesamburo kwa sababu tofauti: Josephine ana udhuru mpaka tarehe 2-10-2011 na Ndesamburo aliyeko nje ya nchi kwa matibabu naye ana udhuru mpaka tarehe 17-10-2011

Mkubwa! Bila shaka nikipata chanzi ya ofisini bila shaka nitatua kuwasikilizia makamanda watakachoambiwa.
 
Baada ya Mulugo kuapishwa na Raisi tulishuhudia picha the following day katika gazeti la mwananchi Raisi akimrekebisha tai yake huku wote wakicheka!!! do u know da meaning of dat!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom