Viongozi wa CHADEMA kukodi Ndege binafsi kuhudhuria Sherehe za uhuru wa Tanganyika ni matumizi mabaya ya fedha za ruzuku

Miundombinu ni priority namba moja kwa ajili ha maendeleo ya nchi..ndo maana kila infrastructure ina mirafi yake binafsi..huwezi kuta mradi mmoja hapana miradi ipo tofauti ili kukuza miundombinu na maendelel ya taifa na watu binafsi..tusiwe wapumbavu mda mwingine kusema "maji maji" wakati miradi ya maji ipo na ili kuongeza ufanisi lazima fedha zipatikane ili kuboresha iyo miradi..fedha kupatikana ka kukusanywa lazima miradi kama hii iwepo ili iingizie taifa pato..kitu mnachoona simple na kudharau ni kitu kinachofanya mwisho wa siku tutakuja kupata free health service kama tunavyopata free education..kila kitu na nafasi yake..kama huna ela ya ndege barabara zitajengwa na reli na meli..lets try to think sio kufata mikumbo

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mkuu,CCM ni kimbilio la wajinga na hakuna anaebisha katika hilo
Chama ambacho Kisheku anamzidi elimu Palamagamba
Sasa wananchi wategemee nini?![/QUOTE]Katika wanaJF shabiki wa kutupwa wa Mbowe, siyo CHADEMA, ni wewe. Hakika ukubuhu kutukuwaza nje ya kisanduku. Huoni, husikii wala hujali kuandika kisicho na mwelekeo. Mathalani, katika bandiko la leo unaweka picha za matukio ya nyuma ambayo siyo tu hayana uhusiano na mada ya bandiko, pia hayana uthibitisho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muwe mnatunza kumbukumbu na muwe mnapanga ya kuponda

My take: Hii ni hasara ya kupinga kila jambo

USSR
View attachment 1289825
Watanzania hawataki Ndege wanataka Maji; Naona viongozi wangu wakuu wakiwa ndani ya Maji kuelekea Mwanza. #chumaJPM.

Tafadhali sana tunaomba uambatanishe invoices ili tujue source ya hizo fedha...
Na utueleze kinagaubaga ndege ni ya kampuni gani na imekodiwa kutoka wapi kwenda wapi kwa gharama gani!!
 
Mkuu,CCM ni kimbilio la wajinga na hakuna anaebisha katika hilo
Chama ambacho Kisheku anamzidi elimu Palamagamba
Sasa wananchi wategemee nini?!
Katika wanaJF shabiki wa kutupwa wa Mbowe, siyo CHADEMA, ni wewe. Hakika ukubuhu kutukuwaza nje ya kisanduku. Huoni, husikii wala hujali kuandika kisicho na mwelekeo. Mathalani, katika bandiko la leo unaweka picha za matukio ya nyuma ambayo siyo tu hayana uhusiano na mada ya bandiko, pia hayana uthibitisho.

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE]Nimeambiwa mbowe alipata zero shule na ni mwenyekiti wako ,kama unaongozwa na mjinga wewe akili utatoa wapi?

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafadhali sana tunaomba uambatanishe invoices ili tujue source ya hizo fedha...
Na utueleze kinagaubaga ndege ni ya kampuni gani na imekodiwa kutoka wapi kwenda wapi kwa gharama gani!!
Nenda pale ufipa kinondoni makoo makuu ya chadema uliza mke wa mbowe anaitwa Joyce mukya yeye ndio mhasibu mkuu wa chadema atakupa maelezo usitumbue wan accm

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda pale ufipa kinondoni makoo makuu ya chadema uliza mke wa mbowe anaitwa Joyce mukya yeye ndio mhasibu mkuu wa chadema atakupa maelezo usitumbue wan accm

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app

Daah mbona unakuwa kama vile wewe ni LBGT?? Yaani wewe ulete mada yako.. Ukiombwa details unaanza taarabu zako...??
Trash!
 
Back
Top Bottom